Ridhiwan Kikwete ndani ya 360,clouds Tv

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,995
3,399
Mnyonge mnyongeni,haki yake mpatieni.

Leo katika 360 asubuhi umeongea kiungwana sana,pamoja na maswali ya kizushi ya hao vijana japo kama mm ningeuliza tofauti kabisa.

Kiukweli kama binadamu you are not perfect.

Lakini umelelewa vizuri sana na Mzee Jakaya kikwete.
Una heshima sana,Hongera kwa hilo.

Tunapitia kipindi kigumu chama cha mapinduzi.lakini hata kama kuna msala hujampa adui nafasi.

Kifupi,leo wajuvi walitegemea uharo ukiutema kijanja.ikawa vice vesa.

Kisa wewe kuhusishwa na dawa za kulevya,wakti evidence ndo mwanzo mwisho.
Namalizia kwa kusema endelea na moyo hohuo.

Mwisho kabisa ,nawaambia Wajuvi,Rohoni kwa mtu ni mbali sana
 
Kuzungumzia china ,unasubiri swali husika,kama halipo hakuna hayawani wa hivyo
 
kama kawa mpole yawezekana kuna ukweli katika yanayozungumzwa
kwenye moshi kuna moto
 
Uuze madawa ya kulevya halafu uwe mkali?!! Lazima anyenyekee
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Chadema mbona Manji;Wema na Mbowe mnawatetea juu ya madawa kulikoni kuhusu Riz 1
 
Mnyonge mnyongeni,haki yake mpatieni.

Leo katika 360 asubuhi umeongea kiungwana sana,pamoja na maswali ya kizushi ya hao vijana japo kama mm ningeuliza tofauti kabisa.

Kiukweli kama binadamu you are not perfect.

Lakini umelelewa vizuri sana na Mzee Jakaya kikwete.
Una heshima sana,Hongera kwa hilo.

Tunapitia kipindi kigumu chama cha mapinduzi.lakini hata kama kuna msala hujampa adui nafasi.

Kifupi,leo wajuvi walitegemea uharo ukiutema kijanja.ikawa vice vesa.

Kisa wewe kuhusishwa na dawa za kulevya,wakti evidence ndo mwanzo mwisho.
Namalizia kwa kusema endelea na moyo hohuo.

Mwisho kabisa ,nawaambia Wajuvi,Rohoni kwa mtu ni mbali sana
Hivi hii Clouds ni kituo cha nani hasa.The owner must be morally bankrupt maana mambo yake mm. Binafsi nisingependa kuhusishwa nacho kwa njia yeyote ile.
 
Huyu dogo bora angekaa kimya yupo hapo alipo kwa msaada wa baba yake uwezo wake wa siasa ni mdogo sana.
 
Yani anaibuka MTU anasimama hadharani anataja majina ya watu ovyo!wakati huohuo wengine anawaacha!!!
Ayseeee time will tell
 
Back
Top Bottom