Elections 2010 Ridhiwan Kikwete avamiwa na vijana wa CHADEMA ashindwa kufanya kampeni

Hata wao hawana ubia na Mungu wa kuwawezesha kuishi milele.

Kila nafsi itaonja mauti.
 
Ili mbegu ya ngano na nyinginezo ziweze kuzaa ni lazima zife ili kuleta matunda mengine yenye nguvu zaidi, kwa hiyo ndg yangu kwa uchungu uliouonyesha kwa nchi yako, usiogope kufa kwa sababu ukifa wewe utasaidia damu changa kuondokana na hayo yote ambayo ccm imekuwa ikifanya na kutambua haki zao ni zipi kama mwamko unayoonekana sasa
 
Dogo kaza buti. Hao wanaokutisha ni walamba viatu wa hiyo familia, wanahofu anguko la mabwana zao ni njaa kali kwao. Wanataka waandishi wote wa habari nchiniwawe kama wale wavaa vikoti vya Press Kikwete 2010!!!!!!

Kifo kimepangwa na MUNGU, akitaka utakufa asipotaka watajisumbua tu.

Wacha wakunguse nawe ulimwengu ukutambue.
 
Wewe ni mwandishi kwa taluma na uliapa kulinda heshima na maadili ya kazi yako endelea kuhabarisha umma kwa ukweli na uwazi mtupu usiogope mtu mungu ndiye mtangulizi wako nchi hii ni yetu sio ya mamake wala baba yake ridhiwani kuna siku usultani walionao utaisha tuu
 
kaka hao ni wafa maji ndo maana hawaishi kutapatapa we usijali
 
Kwani Ridhuani hawezi kupigwa? Wanaolalamikia hiyo story wanamuona Riduani kama Mungu Mtu?
 
Godwein wewe si kada wa CCM basi tafadhali zingatia ahadi hii ya Mwana TANU " NITASEMA KWELI DAIMA, UONGO KWANGU NI MWIKO" na mwisho napenda nikukumbushe maneno ya hekima yaliyosemwa na mpigania uhuru wa SA Comrade Solomon Mahlangu alisema " TELL MY PEOPLE THAT I LOVE THEM, AND THEY SHOULD CONTINUE WITH THE STRUGLE, AND THAT MY BLLOD WILL NOURISH THE TREE THAT WILL BEAR THE FRUITS OF REEDOM, ALUTA CONTUNUA" So bro Godwin usijali, " Your bllod will Nourish the Tree that will bear the Fruits of Democracy, Aluta continua"
 
Sorry hapo kwenye RED I mean Blood!
 
Hebu muone mwalimu mkuu wa shule,,, ambapo tunategemea viongozi bora kweli kunausalama hapo kweli,, mwalimu mwenyewe inaonekana amekata tamaa kabisa..

Ridhwani hana chake tena kwa sasa... wala baba yake wote wasituchakachue...
 
5.JPG

ama kweli duniani kuna mambo
 
Unauhakika gani kama waliomvamia ni vijana wa CHADEMA. Hao ni vijana wasiotaka kudanganywa tena na tena. HAWADANGANYIKI!!!
 
chadema kwa Vurugu!! bora alivoondoka wangeiba ahadi spare tires
 
Mwandishi aliyetishiwa maisha akalalamike katika Mamlaka zinazohusika maana siku hizi Line za Simu zote zimesajiliwa
 
Back
Top Bottom