Rick Ross yuko makini sana na afya yake

Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake.

Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga.

Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
View attachment 2024415
Umtoe demu bongo hadi dubai halafu unavisha salama.
Watu makini hupima afya kabla ya tendo sio kutumia salama.
Salama mara nyingi tu zinapasika.
 
Hapa ameula wa chuya kwa ulimbukeni wake,wakiachana hata haya madanga yake ya hapa yatampiga chini
Jamaa anajidai anatumia ndomu, wajanja wanazibeba kama anaenda ukitupa yale nani anajifurumushia Kwame anapata mimba alafu kwa kuwa wameishamwona Nate HM kama kawa anataka child support kutoka marekani
 
Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake.

Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga.

Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
View attachment 2024415
Kwahiyo ndio anawaonyeshea kuwa ndio anayotumia kwa misa? wacha mbongo ampelekee ngoma asipokuwa makini.
 
Sifa ya magnum ni Kwa kina mandingo.. Kiba zinapwaya.. Sasa Kwa kitambi cha huyo afisa magereza kweli eh..

Bhas Sawa.
 
Hamisaaa..sasa kulikuwa na haja or ulazima gani wa kujianika hadharani kuwa ametoka na Rick Ross?

Anafikiri ndio ataongeza umaarufu?au ndio kujitangaza kimataifa?au ndio kutafuta kuolewa USA?

Yule kijana wa watu wa Vunja bei mbona alikuwa chaguo sahihi kabisa kwake,ukizingatia ameshazalishwa Mara mbili Majizzo na Chibu.

Ukipata mwanaume anaekubali kubeba mizigo ya wanaume wenzie ni wa kumng'ang'ania kama kupe.

Amemuacha kijana wa watu anaenda kudanga na mijitu isiyoeleweka,hivi hajui kuwa umri unakimbia kama yule mwanariadha wa Kenya kipchoege??

Ni maisha yake hamisa anapnga yeye aishi vipi sio wanatakaje
 
Kwamba bado wanamchukulia kama spy ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni nature tu ya kazi yake ya awali. Kama sio au ndio ni ngumu kuaminika Kwa baadhi ya watu kulingana na itikadi zao.

Ni kama vile kuchukia somo la hisabati na walimu wa hisabati kisa mwalimu wako alikuwa anakutandika sana. Huwezi kumkubali ticha mwingine hata kama yuko peace. Utachukulia wote ni wale wale.

Once a soldier always a soldier. Huyo akitaitishwa lazima arudi kwenye misingi ya kazi yake tu.
 
Wakuu hivi Ni kweli Hamisa kaliwa na rick tozii au ?
LiSquare_20211127224824853.jpg
 
Back
Top Bottom