Richmond

Dadii

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
748
1,147
Hivi wana great thinker ile kesi ya richmond imefutwa? Au ndo kulindana maana watuhumiwa wamerudi tena mjengoni tusubiri watapewa uwaziri sasa hivi. Mambo ya kiswahiba haya yana cost mnoooo.
 
Juzi niliskia yule mtuhumiwa kuwa yeye ni mkurugenzi wa Richmond internet cafe na sio Richmond ile tuijuayo sisi.
Nilihisi kuchoka ghaflaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Naona kesi itakuwa imeisha
 
Kwani paliwahi kufunguliwa kesi yeyote ya maana inayohusu Richmond, mbali na hiyo waliyomfungulia huyo bwana hasiye na mbele wala nyuma!
 
Back
Top Bottom