Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

Waziri mkuu huyu hana utendaji mzuri... Huyu aliwahi kutimuliwa unaibu Waziri kwa kuwa n mzigo
 
Mm mwenyewe nilijiuliza inakuwaje mkurugenzi anasema alipewa baraka zote na ofisi ya wazir mkuu alafu Leo hii huyo wazir mkuu anakuja kukataa, sasa tumwamini nani
 
Kama sera inaruhusu wamuache tu. Nashangaa DED,DC,RC,RAS wanakuwa na magari ya kifahari..

Ndio njia tuliyoichagua acha tupambane nayo.
 
Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza Lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa).

Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.

Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.

Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.

"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba, kuna utata hapa.

Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima.

Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira.

Kwa kuwa kuwa hofu kuwa Majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata).

Maadui wa Majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.

My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!

USSR
Mchaga tena? Ukabila hatutaki, mtatuharibia nchi.
 
Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza Lowassa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrithi Kikwete (alipaniwa).

Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrithi Magufuli kwa uwezo, utendaji, dini, ukanda na umri, Kassim Majaliwa anazunguka zongo linalomuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake, yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyooshea kidole.

Akihojiwa na tume ya Dkt. Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Msabaha anasema "Naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wote wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.

Kama umemsiliza waziri mkuu kule Mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi, walioagiza wanasema shida sio wao kuomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyu si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.

"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kuanzia kwenye kamati ya halmashauri, baraza la madiwani, wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita anaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba, kuna utata hapa.

Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima.

Rais anaonekana yuko wa wananchi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka waliohusika wawajibishwe, waliohusika wanarushiana mpira.

Kwa kuwa hofu kuwa Majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata).

Maadui wa Majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.

My take; Ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa Rais unaweza ukajitokeza hapa tena!

USSR
Nawashangaa wanaomuona PM Majaliwa Kassim kuwa ni mchapakazi. Majaliwa ni zao la viongozi madikteta wasiopenda kukosolewa au kushauriwa. Madikteta hawa hachaguwa watu wepesi na wasio na uwezo wa kuchambua mambo ili kutekeleza maamuzi yao kwa watawaliwa.

Majaliwa ni kama DODOKI, mwenye nalo akililoweka linanyonya maji, akilikamua linatowa maji. Hana mawazo wala maamuzi yake. Mifano 4 hii hapa;
1. Suala la FARU JOHN alidanganywa na yule Naibu Waziri na Mbunge wa Loliondo naye akalipuka
2. Alimuwashia moto Asia Abdallah yule DC wa Kilolo tukajuwa atatumbuliwa, hakuna kilichotokea hadi leo
3. Alileta wananunuzi wa korosho na JPM akamtupilia nao mbali
4. Daraja la barabara ya Dodoma- Moro lilipobomilewa aliamuru yule Mhandisi atolewe Morogoro. Hakutolewa
 
Jiwe ana tatizo moja la kuweka wapambe wa kumpa taarifa za udaku ambao hawana intergrity na mmoja wao ni huyo msukuma! Utamuamini vipi mtu [ Ingawa ni mbunge wa ccm] ambae anaendesha maisha ya kutapeli mabenki kwa kuchukua mikopo na kutoilipa kiujanjaujanja!! Huyu msukuma anastahili kushtakiwa kwa uhujumu uchumi wa Nchi na kuvuliwa ubunge wake kwani hastahili heshima ya ubunge. Jiwe kujihusisha na watu wa namna hii anashusha hadhi ya taasisi ya Urais.
Naomba mkuu unapokosoa jihadhari sana na personal attack!! Naamini kabisa huna uhakika na uyasemayo kuhusu MSUKUMA!!

Unataka watu waruke mjadala uliopo waanze kujadili umbea wako!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tangia 2016 wizara ya Tamisemi ilihamishwa kutoka ofisi ya waziri Mkuu na kupelekwa Ofisi ya Rais
Waziri Mkuu alibaki na Uratibu,bunge na sera pamoja na uwekezaji ambao nao umehamishiwa Ofisi ya Rais
Hayo matumizi ya V8-X kwa wakurugenzi sidhani kama PM anahusika
Ndo mana wakati wa uapishwaji mawaziri, Mh. Rais alimdirect Waziri Jaffo na sio PM.
Unaweza ukawa sahihi kwahili!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza Lowassa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrithi Kikwete (alipaniwa).

Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrithi Magufuli kwa uwezo, utendaji, dini, ukanda na umri, Kassim Majaliwa anazunguka zongo linalomuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake, yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyooshea kidole.

Akihojiwa na tume ya Dkt. Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Msabaha anasema "Naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wote wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.

Kama umemsiliza waziri mkuu kule Mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi, walioagiza wanasema shida sio wao kuomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyu si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.

"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kuanzia kwenye kamati ya halmashauri, baraza la madiwani, wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita anaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba, kuna utata hapa.

Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima.

Rais anaonekana yuko wa wananchi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka waliohusika wawajibishwe, waliohusika wanarushiana mpira.

Kwa kuwa hofu kuwa Majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata).

Maadui wa Majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.

My take; Ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa Rais unaweza ukajitokeza hapa tena!

USSR
adui namba moja wa nchi hii ni ccm
 
Na huo mpira wanarushhiana tu nasubiri nione nani atafunga hili bao, wachezajia au kocha mwenyew ndo atakuja afunge.
 
Naomba mkuu unapokosoa jihadhari sana na personal attack!! Naamini kabisa huna uhakika na uyasemayo kuhusu MSUKUMA!!

Unataka watu waruke mjadala uliopo waanze kujadili umbea wako!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Mimi nina uhakika na nilichoandika kuwa ni kweli na watu wanaomfahamu Msukuma wanajua ni hivyo!! Personal attack kuwa anakopa fedha benki kiujanjaujanja halafu anaruka kimanga halipi au kuwa anavuta ganja? Benki kalibuni zote Mwanza zimelizwa na Msukuma na anatumia ubunge wake kama Kinga!!!! Hakuna umbea hapo kama unabisha nenda High Court Mwanza uone makesi yanayomuandama!!!

Wewe kama ni mtetezi wa Msukuma; tuliza boli kwani kwa utaratibu wa Bunge bila shaka taarifa zake za kuwa na matatizo na mabenki lazima watakuwa wamefikishiwa, lakini Ndugai hawezi faya lolote kwa kumuogopa mtu wa Jiwe!!
 
Aliyeomba na aliyeidhinisha wote wanamakosa,

Unafikiri nini kununua gari ya 460 milion tena la mtu mmoja tu,

Huo ni ubinafsi uliopitiliza.
 
Jengeni mifumo imara acheni kujenga personalities! Zile VX-R V8 T CCM 2020 zilizofunika nchi nzima kwa maelfu ziliidhinishwa na nani? Ni mali ya CCM? Zinafanya nini kwa sasa? Kama kuna kipindi ubadhirifu wa kutisha umewahi kufanyika nchi hii.
Mijizi yote tu! ukianzia na lile likichwa box likipara lisiloweza kuongea sentensi ya lugha liliyotumia kusoma hadi degree tatu. Likiulizwa lilipataje PHD linaua watoto wa watu. Yote mijizi tu full stop!
 
Jengeni mifumo imara acheni kujenga personalities! Zile VX-R V8 T CCM 2020 zilizofunika nchi nzima kwa maelfu ziliidhinishwa na nani? Ni mali ya CCM? Zinafanya nini kwa sasa? Kama kuna kipindi ubadhirifu wa kutisha umewahi kufanyika nchi hii.
wakikujibu nitag
 
PM hawezi kukwaa kisiki - kama ni hivyo basi OR itawajibika sababu KM Utumishi, Waziri Mkuchika hawataweza kukwepa - baada ya uteuzi yapaswa wafanye Mafunzo ya ndani kwa wateuliwa ili kuwekana sawa - hayo hayakufanyika - KM Tamisemi na Waziri wake Jafo nao hawakuwajibika

Hili limepita
Tunaweza kuyauza nje wapo watu wanaweza kununua au kuuuzia asasi za kiraia ishu ya matunguli sio ishu sana
 
Back
Top Bottom