Richmond & Buzwagi Episodes: Who are the Murderers?

kobelo

New Member
Feb 7, 2008
1
0
Natumaini kabisa hao walioitia nchi hasara ya mamilioni ya USD kupitia mikataba FAKE na RUSHWA ni WAUHAJI KABISA.........Shetani anawasubiri kwa mikono yote aliyonayo waende kuchochea huo moto wake huko motoni.

Sababu zangu za kuwaita ni wauhaji ni hizi hapa:
-Hizo $$$$$$$$ walizoiba zingetosha kabisa kuokoa maisha ya watanzania wengi tu wenye kuhitahidi madawa na tiba kwa magonjwa mbalimbali.

-Hizo $$$$$$$$ ni jasho la walalahoi wenye kuhitaji huduma za maji, afya, njia za mawasiliano, uchukuzi, etc. Maelfu ya watanzania wanakufa kwa sababu ya ukosefu wa vitu hivyo.

-Hizo $$$$$$$$ zingesaidia kusomesha watanzania kwa maelfu, na hivyo tungepata ma doctor, n.k. wa kusaidia kutibu wagonjwa, n.k.


You do not have to shoot someone to be called a Murderer....
naomba walioiba hizo hela na wote wenye mtindo wa kuiba hela za wavuja jasho wasome juu hapo- ili wajisute na roho zao za kishetani.
Tumezaliwa bila hela na tutakufa bila hela.....simple like that!!! Remember Mobutu ? Do you know where he is now???? what has he left behind? ..........No legacy, no money, nothing. He is just in a soil somewhere there.........i wouldn;t waste my few second to see his KABURI, but, hey, I would spend even a day to go to Butiama (actually, its on my to-do-list).

Kweli tutaendelea kumkumbuka sana the ORIGINAL J.K (Julius Kambarage Nyerere). Tumuombee huyu J.K. wa sasa (Jakaya Kikwete) aendeleze kazi ya Nyerere ya kupitisha fagio la Umma, na kusafisha wizara zake zote.

TANZANIA tunahitaji kubadili sheria ya "RAIS HATOSHITAKIWA KWA KOSA LOLOTE LILE KIPINDI AKIWA RAIS AU KIPINDI AKIWA AMESTAAFU" That is ridiculous...Kama viongozi wetu ni wa kweli, basi wabadili hiyo sheria. Vinginevyo kila RAIS (mpaka sasa tuna hakika ni Nyerere tu ndiye ambaye hakuiba hela zetu) atakuwa na mazingira ya kuiba hela zetu.

TUNAHITAJI KUJENGA RESPONSIBILITIES, kuanzia kwa RAIS hadi Mpiga Debe wa daladala.

Jambo rahisi sana ni..........kwa nini tusifuate system zote nzuri zinazotumika nchi zilizoendelea ili tuendelee??????

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom