Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Maigizo nchii hii hayaishi kila siku tamthiliya mpya, kuna mtu kaenda ITV anadai anafuata falsafa za mwalimu lakini anasema rushwa kubwa sio tatizo sana ila rushwa ndogo ndo zianze kushughulikiwa
 
opportunist huyo jamaa achana nae!ni kijana mwenzetu lakini anatuaibisha
 
Mbona huyu jamaa ameshaanza kampeni muda mrefu sana huku hebu nenda facebook account yake uone picha.
 
Maigizo nchii hii hayaishi kila siku tamthiliya mpya, kuna mtu kaenda ITV anadai anafuata falsafa za mwalimu lakini anasema rushwa kubwa sio tatizo sana ila rushwa ndogo ndo zianze kushughulikiwa

Achukue taimu huko,
Kwa style hii hata majambazi utawasikia wakiiba leo, eti wamuenzi Mwalimu kwa kuonyesha udhaifu wa Jeshi letu la polisi ulivyo!!
 
Kwa imani yake, he thinks he is good. Ila matendo yake haya-reflect hivyo, ni udhaifu wa kibinadamu tu.
 
huyu snitch tu kisa ni jirani na JK ndo maana hata ktk safari zake anakuwepo,,na anakafoundation kake kanaitwa:

Richard Atufigwege Kasesela Foundation
 
Juzi alikuwa msemaji wa familia ya Mwapachu...nikashangaa sana jinsi anavyojua kujipaisha...namfananisha sana sana sana na Kibonde naona kama wana element zinazofanana...
 
Huyu mtu ni nani? Au kama ni machine ni aina gani ya machine ?Wengine hatumjui ni kitu gani huyu mtu .Tupeni abc zake kabla ya mengine ili tu join mjadala .
 
kwa imani yake he thinks he is good. Ila matendo yake hayareflect hivyo, ni udhaofu ws kibinadamu tu

ila domo lake linamsaidia kweli hapa mjini

siyo hivyo tu ni jirani yake Kikwete hapo mgombani street kwa hiyo amekosa fadhila za jamaa anajaribu karata za mwisho
 
skillz4ever niko pamoja naww uyu jamaa hana tofaut na kibonde kwa kujibaraguza kwa watu ambao wako kenye system sijui uyu mtoto c rizk uyuuu
 
Juzi alikuwa msemaji wa familia ya Mwapachu...nikashangaa sana jinsi anavyojua kujipaisha...namfananisha sana sana sana na Kibonde naona kama wana element zinazofanana...

you are right!simply and cheaply publicity
 
Haaa haa... kuna Id ndani ya hii thread, inajitaid kumtetea sharobaro bt waungwana wamemkaushia na wanazdi kuponda, cjui jamaa anajickiaje..
 
Nchi hii watu makini hawana nafasi, mara zote waliovimbelembele ndio wenye nafasi, na hii kimsingi imetokana na hata aina ya wapiga kura tulionao, wamekuwa hawana utashi wa kudadisi uhalisia wa mtu wanaemhitaji kwa nafasi na uzito wa majukumu yenyewe. briefly kasesela ana nafasi sana rungwe ya prof mwakyusa kwani sio siri alimsumbua vya kutosha prof uchaguzi uliopita, hasa ukizingatia prof Unyerere-lism wake hasa ukizingatia watu wengi wametanga na njia, yaani pesa mbele kuliko utaifa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom