Maigizo nchii hii hayaishi kila siku tamthiliya mpya, kuna mtu kaenda ITV anadai anafuata falsafa za mwalimu lakini anasema rushwa kubwa sio tatizo sana ila rushwa ndogo ndo zianze kushughulikiwa
wacha uongo wewe,, yeye hakugombea kwa mwandosya yeye alishindwa kwa mwakyusaAnaomba sana Mwandosya afe,akagombee ubunge Rungwe!
... Ubunge... kuna kitu anakitafuta
kwa imani yake he thinks he is good. Ila matendo yake hayareflect hivyo, ni udhaofu ws kibinadamu tu
ila domo lake linamsaidia kweli hapa mjini
fadhila gani na karata ya mwisho ndiyo mdudu gani?? mtakufa kwa vijiba vya rohosiyo hivyo tu ni jirani yake Kikwete hapo mgombani street kwa hiyo amekosa fadhila za jamaa anajaribu karata za mwisho
Juzi alikuwa msemaji wa familia ya Mwapachu...nikashangaa sana jinsi anavyojua kujipaisha...namfananisha sana sana sana na Kibonde naona kama wana element zinazofanana...
Aje tupambane naye Ileje 2015.Kasesela ni Rungwe magharibi mwandosya ni Rungwe mashariki zaidi kasesela anatakiwa aende Ileje