RICHA PWAAAAAAAAA-----Miss World atoka China

Tehe tehe masikini Kemcho!
kweli thuluma hailipi! tulipiga sana makelele hapa JF kuhusiana na ushindi wa huyu binti kuwa ulikuwa na walakini ila tukabatizwa majina ya kila aina!..sasa ulimwengu mzima umeona....tehe tehe kemcho!!!!!
 
Pipikali Unaundugu na Lundenga????? mwanakijiji nijuze kosa la Rica ni Kuhonga na Kupewa taji akijua haendo popote labda ni ule Mkoko ( Kagari) waulizeni washiriki wenzake
na Kosa la Lundenga ni kuwa hajui kuandaa mashindano ya Urembo bali maonyesho ya Biashara kwani Miss Tanzania 2007 ilikuwa ni matangazo ya biashara na si shindano la urembo kwani kwenye matangazo ya biashara weupe na nywele ndefu hupendeza ndivyo ilivyokuwa wajameni.

hata ikipita miaka 20 bado Lundenga na mademu wake watachemsha .
Ila tusiseme sana nasikia Miss Utalii wanapeleka warembo 3 uturuki kwenye masindano ya Dunia ni Kweli na wataleta ya Richaaaa? ila huwa wanatutoaga kimasomaso kwenye urembo hawa au Unasemaje maarifa?
 
Comrade! Haya ya Miss Utalii yaachie mbali kabisa! Heri Lundenga! Unamjua Chips? Unamjua John Singh? Wenye data watakuwekea hapa mara moja na itaanza thread nyingine! Mtamsema Lundenga na simtetei (cheki hapo juu) lakini anafanya kazi nzuri zaidi ya huyo Chips ambaye hafai na anatia aibu nchi hii!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom