richa adhia kutuwakilisha miss india worldworldwide


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,886
Likes
5,096
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,886 5,096 280
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr> <td height="1">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"> <tbody><tr> <td width="10">

</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin-->
1267955643_miss_india_4.jpg
<!--ThumbEnd-->
Miss TZ 2006 Richa Adhia akipozi baada ya kutawazwa Samsung Miss TZ India 2010 na kuwa mwakilishi wetu katika fainali za Miss India Worldwide zitakazofanyika mwisho wa mwezi huu huko Johannesburg Sauzi.
<!--ThumbBegin-->
1267955643_miss_india.jpg
<!--ThumbEnd-->
Uncle Hashim Lundenga akiwa na 'mwanae' Richa Adhia, Miss TZ 2007

<!--ThumbBegin-->
1267955643_miss_india_6.jpg
<!--ThumbEnd-->
Richa na wadogo zake

<!--ThumbBegin-->
1267955643_miss_india_3.jpg
<!--ThumbEnd-->
..wadau waliohudhuria shindano hilo lililofanyika New Africa Hotel usiku wa kuamkia leo.

(PICHA: HISANI YA ISSA MICHUZI)​

</td></tr></tbody></table>
 
Mtoto wa Kishua

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
830
Likes
56
Points
45
Mtoto wa Kishua

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
830 56 45
Hongera zake ila mchakato ulikuaje , mbona hatukisikia shindanio ? , ila wengi watasema ,ila ukweli ni kwamba hawezi sahau asili yake, yeye ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi .Na hili shindani ni kw awarembo walio na asili ya kihindi duniani.
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
336
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 336 180
Naona kama vituko tu!...
 
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
6,846
Likes
255
Points
180
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
6,846 255 180
Miss TANZANIA-INDIA?

Inafanana na UZAYUNI
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,247
Likes
781
Points
280
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,247 781 280
huu sasa wizi mtupu!
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
207
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 207 160
So lazima huyo miss tanzania - India awe na asili hiyo ya kihindi?
Makubwa. nakumbuka wakati Richa wakati anapewa umiss tz
kuna watanzania walilalamika sana lakini anko lunde akaawambia waache ubaguzi.
So sijui katika hii ipoje!!
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
9,988
Likes
462
Points
180
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
9,988 462 180
Bongo kilakitu kinawezekana...msishangaee
 

Forum statistics

Threads 1,205,451
Members 457,927
Posts 28,194,564