Rich Richard wa #BBA

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,212
4,515
Heshima mbele wana jamvi!

Ni kitambo kidogo tokea jamaa avute mkwanja baada ya kushinda kwenye yale mashindano ya #BBA , baada ya pale kama sijakosea aliingia kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo kidogo sijui kama bado anaendelea.

Swali langu ni ukimya wake ukizingatia kwamba ni celebrity ila naona kimya.

Mwenye kujua mishe zake anijuze.
 
Nasikia yupo mirerani huko kachoka anapiga mizinga hatariii...
 
Nasikia yupo mirerani huko kachoka anapiga mizinga hatariii...

Hayuko mererani nlikua namuona mwaka juzi mitaa y ilboru alikua anaishi n muzungu wake bt alikua fine 2 kimaisha hiyo ya mizinga cjawahi sikia
 
Nasikia yupo mirerani huko kachoka anapiga mizinga hatariii...

Sanaa aliacha? Sasa dah. Itakuwa mbaya kama hayuko vizuri maana zile hela nyingi kweli mjini mtaji wa miaka kadhaa
 
Alikua n maisha mazuri tu cz alikua n prado na gari ingine mtu aliepigika anaonekana 2,kuchimba tanzanite c lelemama mtoto mayai hawezi

Alikua na chimbo lake au alikua mchimbaji?
Watu wambea jamani khaa! Nilisikia kachoka kumbe jamaa yuko fresh tu.
 
Alikua na chimbo lake au alikua mchimbaji?
Watu wambea jamani khaa! Nilisikia kachoka kumbe jamaa yuko fresh tu.

Hayo maneno ya wa2 sijawahi muona mererani nlikua namuona mitaa flani twn y ilboru mana alikua jirani na mdogo wangu.,mgodi c makende hata hizo hela za idris zote zitaisha ndani y miez 6 usijue zimepitia wapi mgodi ambao unafanya kazi kwa mwezi unakula 50m mpka 100m kutokana na ukubwa wa mgodi na vifaa plus umeme mtu anakipa bill umeme mpka 20m permnth
 
Duh, , kazi kwelikweli...
Kumbe machimbo yana gharama hivyo? Haya bwana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom