DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,212
- 4,517
Heshima mbele wana jamvi!
Ni kitambo kidogo tokea jamaa avute mkwanja baada ya kushinda kwenye yale mashindano ya #BBA , baada ya pale kama sijakosea aliingia kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo kidogo sijui kama bado anaendelea.
Swali langu ni ukimya wake ukizingatia kwamba ni celebrity ila naona kimya.
Mwenye kujua mishe zake anijuze.