Rich Mavoko Ft Pato Ranking - Rudi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,042
Wadau habari!
Kuna huu wimbo mpya wa Rich aisee ni mzuri sana, kwa mara ya kwanza nilivyousikia niliupuuza tu, lakini mara baada ya kusikiliza tena juzi, nimejikuta nimeukubali sana.

Nikiri tu kwamba Richa toka aende WCB alikuwa anazingua na nyimbo zake uchwara, ila hii ametisha sana, amepanga na ikapangika mujarabu.

Hongera Rich Mavoko, ingawa WCB wanakunyonya bila wewe kujua.
 
Rich hajawahi kuniangusha toka hajaingia WCB hii ngoma hua naiskiliza almost kila siku zaidi ya mara moja huku nikivuta hisia mbaaali
 
Mi nimeanza kuipenda Jana baada ya kukutana na shemeji yenu na kusema nimuwekee anaipenda sana
 
Back
Top Bottom