Rich Mavoko achana na WCB huendani na kasi yao

wanaojulikana

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
576
901
Ni kweli kabisa kaka Rich Mavoko umepwaya kabisa kama tulivyotegemea ungefanya vizuri zaidi kumbe imekuwa kinyume chake.

Tatizo siyo kufanya wimbo na msanii wa Nigeria au popote pale hapana hata kipaji chako kimekufa kaka ni bora ukomae mwenyewe hao jamaa style yao huiwezi kaka nakuambia mapema kabisa.

Mwisho vijana wa WCB wote wako vizuri wewe umekwama wapi brother nadhani ni wakati wakutafakari kabla ya kipaji chako kupotea.
 
Mage Kimambi alisha lisema hilo kuhusiana na kufa kimziki kama Mavoko atajiunga na WCB
 
Jamani tujikumbushe mavoko wa zamani na wa sasa, Mimi naona mavoko wa zamani alikuwa bora sana kuliko huyu wa sasa
wasanii wengi zaman walikuwa bora kuliko sasa, si mavoko tu pekee. Nadhan kuna tatzo mahali sijui n nini kinakosekana
 
Nipe tofauti ya mavoko alivyokuwa ktk lebo ya king kaka ya Kenya ,baada ya kuachana na papa misifa (na kama kweli unamfuatilia mavoko nitajie nyimbo zake mbili alizozitowa akiwa chini ya hiyo lebo ya king kaka na zilifika wapi) na mavoko wa WCB ,ukilijua hilo ndio utajua kama mavoko anapanda au ameshuka muwe wafuatiliaji sio mnaropoka tu na kama hujui mavoko aliachana na papa misifa baada ya jamaa kumbambikia kesi ya kumdai milioni 500 (tafuta mahijiano kati ya soudybrown na papa misifa youtube) na ndio utajua jinsi gani WCB na mondi walivyoamua kubeba msalaba wa mavoko .
 
Tatizo ni kuweka mambo hadharani wakati mlango uko wazi juu ya gari iliyopotea, na matokeo ni kubinafsha nchi wakati mbwa wanaonekana wakirandaranda mtaani bila kujali jinsi gani ya kuzuia gharama za maisha. Nani alaumiwe?
 
Sawa muangalie hapa
Ndani ya masaa 13 sio mbaga kabisa ukilinganisha na waliopwaya hapa nchini

 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom