Rich Mavoco ngoma yake mpya ''Wanakutamani'' ni shida...

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
9,110
27,047
Nimetokea kuikubali sana hii ngoma.Ni ngoma flani ukiwa home na mchumba wako,girlfriend au hata mke mnasikiliza huku TARATIIIIBU unachezea nywele zake.
Well done Mavoco
 
Hakuna kitu wimbo mbovu mavoko toka aende Madale haeleweki anaimba nini.
 
hili jukwaa lilikua la kupunguzia msongo wa mawazo ila siku hizi limekua kimeo,weka ngoma tusahau balaa la Chenge.
 
Mie naona wimbo wake wa Sheri yupo na fid q ndio angeutoa official ni bonge la ngoma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom