Rich gang kwa Tanzania ni akina nani?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili

Tumeweza kuona huko uganda kuna watu ambao wanaitwa rich gang, mmoja wa watu waliokuwa wakiunda kundi hilo ni mfanya biashara ivan don ambaye kwa sasa ni marehemu bwana amuweke pahala salama kuumen kwake yeye aliyempenda zaid ambaye ni bwana

Sasa nakuja kwenye maada husika, je hawa rich gang kwa tanzania ni akina nan?
Ama tanzania hakuna rich gange ambao wana mfumo kama hawa wenzao wa uganda?
Je kwani ukiwa tajir tu nawe unakuwa rich gange?

Naomba kujua zaid kuhusu rich gang wa tanzinia ni akina nan
 
RIP Ivan Don

Moja kati ya watu waliopata kuniinspire ni huyu Ivan - huyu jamaa nilimfahamu tangu hata Zari hajaachana nae... Jamaa alizamia kuingia SA kwa shida sana, alitoka UG akiwa masikini wa kutupa, hata alivyofika mpakani Zambia ama Zimbabwe (sikumbuki vzr) alikamatwa kwa kukosa vibali, lkn mwisho wa siku akatusua.

Baada ya kuingia SA akapambana sana sana sana ktk kile ambacho alikijua zaidi, huyu jamaa alikua daktari wa jadi - but very focused. Aliweza kuwatibu watu wazito sana akiwemo Mke wa Thabo Mbeki, alipooanza kupiga pesa za kibabe akawa anawaleta wauganda kutoka kijijini kwao anawatrain anachokijua kisha anawaachia clients wake.

Baadae akaanza kumiliki vitu vyenye akili, akaanzisha Brooklyn College ambayo inahusu sana mambo ya nursing, madini, uongozi na utawala, pamoja na technology. Jamaa baadae akarudi kuwekeza Uganda akajenga 4 star hotel njia ya kuelekea kijijini kwao, akajenga nyumba 2 huko kijijini kwao Manyonyo. Kisha akarudi SA akajenga Pretoria na Sandton (haya ni maeneo ya ushuani hasa).

Baada ya yote hayo akaona yupo vzr akaamua kuanzisha philanthropy (kutoa misaada) - hapa ndio mwanzo wa Rich Gang, akajenga orphanages 2, 1 SA na ingine UG... akawalea watoto yatima na wale waishio mazingira magumu. Akawa anatoa misaada sana kwa wamama ambao ni single parents nk, hata kabla hajafa alitoka UG akatoa misaada sana...

Na pia yeye alijulikana kama mwenyekiti wa waUG nchini SA, mUG yeyote akifika SA afu akawa hana dira basi akifika kwa Ivan anapata msaada, anapewa michongo na guidance ya kupiga pesa.

Jamaa kafariki na moyo wake... kafariki watu wanampenda... hana ugomvi na mtu, sijawahi kusikia akiwa na kashfa yoyote ya kulaghai, kutapeli, kunyanyasa nk. Yani alikua ni mtu safi sana... kafariki mapema sana... alikua humble sana, kwa familia yake alijitoa sana awe baba bora... Wanawake tunawajua akili zao - siwezi zungumza sana lkn Zari dada'ngu alishikwa na tamaa isiyoeleweka tu.

Rest in peace rich gang president.
 
Amen

Nilikuwa namuchukulia kawaida sana huyu jamaa before sijamufatiria kumbe jamaa alikuwa poa sana mtu wa watu rip sana don ivan
 
Kuiga Wamarekani tu!

Baada ya Birdman kuja na Rich Gang, Miafrika nayo ikaiga!

Stupid.
Kwahiyo wale jamaa wa uganda akina ivan na king rauranc pamoja na jack sio marich au hwakufaa kabisa kujiita marich
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom