Rich gang kwa Tanzania ni akina nani?

Bongo kuna riches lakini hamna rich gang. Walikua wanaanza kuibuka wauza ngada lakini usawa huu wametulia kabisa. Hamna cha maana wanachokifanya kwenye jamiii zaidi ya kufanya kufuru kwenye bars na luxurious hotels.
 
Kwani wewe ni mzungu Mkuu?

Kuiga kitu ambacho kina manufaa hakuna ubaya wowote.

Hakuna asiye iga hapa duniani mbona wachina wanaiga kila siku technolojia ya watu wengine? Mbona walipokuja Tanzania hapa walianza kuchoma mahindi na kuwa wamachinga wazuri tu.
Mbona huyu jamaa mnamwandama sana wakuu
 
Mbona huyu jamaa mnamwandama sana wakuu
Ana kaushamba fulani hivi Mkuu.

Mbona kuiga ni kitu cha kawaida sana. Hata mataifa makubwa bado yanaiga mfano China.

Halafu yeye analeta udwanzi wake hapa kudharau wenzake.
 
Wangekuwa waTz mngekuwa mnawaponda kuwa watu wazima wana show off za kitoto ila kwakuwa siyo waTz mtawasifia.
 
Aman iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili

Tumeweza kuona huko uganda kuna watu ambao wanaitwa rich gang, mmoja wa watu waliokuwa wakiunda kundi hilo ni mfanya biashara ivan don ambaye kwa sasa ni marehemu bwana amuweke pahala salama kuumen kwake yeye aliyempenda zaid ambaye ni bwana

Sasa nakuja kwenye maada husika, je hawa rich gang kwa tanzania ni akina nan?
Ama tanzania hakuna rich gange ambao wana mfumo kama hawa wenzao wa uganda?
Je kwani ukiwa tajir tu nawe unakuwa rich gange?

Naomba kujua zaid kuhusu rich gang wa tanzinia ni akina nan

Ni Tanzania sio tanzinia!!!
 
Ana kaushamba fulani hivi Mkuu.

Mbona kuiga ni kitu cha kawaida sana. Hata mataifa makubwa bado yanaiga mfano China.

Halafu yeye analeta udwanzi wake hapa kudharau wenzake.
Aisee kumbe jamaa ni mshamba, kwan had america kuna washamba mkuu
 
Back
Top Bottom