Rice harvester ya kukodi inahitajika

A2G

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
283
828
Habari zenu wakuu

Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo.

Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane tufanye kazi maana Nina ekari nyingi. Gharama ya kuisafirisha kutoka ilipo mpaka shambani kwangu ni juu yangu lakini uwe na dereva wako
 
namwonaga nalo masanja you tube
 
Kuna jamaa yngu analo dakawa
 
b6eac4effa0739146c638b8c8b3247c9.jpg
Nimelikuta Mgongola karibu na Banda Sita

Sent from my ZTE A2017 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom