Rice combine harvester ya kukodi inahitajika

A2G

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
283
828
Habari zenu wakuu

Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo.

Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane tufanye kazi maana Nina ekari nyingi. Gharama ya kuisafirisha kutoka ilipo mpaka shambani kwangu ni juu yangu lakini uwe na dereva wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom