Riba za minor au junior accounts

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
807
366
Habari ni wadau,naomba kujuzwa kwa wanaojua,nimesikia benki hulipa interest nzuri kwa akaunti ya mtoto,napenda kujuzwa ni asilimia ngapi hulipa kwa Mwaka,na je wanalipa kipindi gani,ni kila unapoweka hela au mpk Mwaka uishe?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom