Rias Magufuli amzawadia Rais wa Zambia tani 25 za korosho

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Rais Magufuli amempa korosho tani 25 bure Rais wa Zambia, Edgar Lungu na tani 25 atanunua kutoka Tanzania

---
Naomba tujue tani 25 za korosho ni kama bei gani hivi na je nani ametoa pesa za kufidia wakulima

Screenshot_2019-10-05-16-14-36.jpeg
 
Daaaahhhh yan korosho za wakulima jamaa kazitoa bure?

Pesa za Wakulima watazipataje sasa?
Waache waendelee na maigizo yao, Serikali inadaiwa zaidi ya Bil 90 kutokana na korosho za mwaka jana.

Jamaa anazishusha sana thamani korosho.
 
Katumia zile walizokamata za kina Nape na hawagasia matani kwa matani ambayo waliambiwa waonyeshe walikoyalima wakashindwa biashara ikaishia hapo.
Uzi ufungwe umemaliza ko izo zitakua za kuonjesha na za wakulima za kuuza ko wakulima wasiofu hawawezi tapeliwa
 
Katumia zile walizokamata za kina Nape na hawagasia matani kwa matani ambayo waliambiwa waonyeshe walikoyalima wakashindwa biashara ikaishia hapo.
Hakuna korosho za Nape au Ghasia zilikamatwa.
 
😂😂😂😂
korosho ni msiba wa kujitakia kwa magufuli. tuache tabia ya kuingiliaingilia kilakitu na kujiona tunajua vyote!
 
sasa nyie mnataka afanyie nini zile korosho zinazo oza kwenye magara? msemaji wa serikali kajitahidi kutudanya kwamba zimeisha leo boss wake anaendelea na biashara! hii ndio tanzania mpya!!
 
Uzi ufungwe umemaliza ko izo zitakua za kuonjesha na za wakulima za kuuza ko wakulima wasiofu hawawezi tapeliwa
Mkuu hujui chochote, hao aliowataja korosho zao hazijakamatwa.

Serikali inadaiwa zaidi ya bil 90 na msimu mpya tayari umeanza.
 
ni kama utani vile!! ila ipo siku sehemu ya ardhi ya Tanzania ataigawa kwa nchi jirani kama zawadi ki matani tu.
 
Hivi wakulima wamelipwa stahiki zao tayari?
wakulima hawajalipwa mpaka leo. alipoka korosho kwa mbwembwe bila kujua pa kuziuza.
kuna mji..nga mmoja yule ABASI juzi anasema wanahakiki sijui account sijui ujinga gani. msimu unaanza mwezi huu.
huyu ni mhujumu uchumi anayelindwa tu
 
Tani 25 nyingi zao zilikamatwa kwa vishoka waliokuwa wanazivusha kutoka hukohuko na kuja kuziuza huku, so kawarudishia kijanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom