Rias Bora ukanda wa Afrika Mashariki ni Nani?

Rais museven wa Uganda ndio rais bora kabisa kwa hapa Africa mashariki kwa jinsi anavyowajali wafanyabiashara na wakulima wake.

Kiukweli ikitokea huyu jamaa ameondolewa madarakani waganda watamkumbuka kama walibya wanavyomkumbuka ghadaffi
 
Ni wa kwetu...anabana sana matumizi, kama jambo halina manufaa kwa nchi pesa inaenda kwenye manufaa.

Kama Mwezi mei kuna uchaguzi mdogo Arumeru, milioni kadhaa zinapelekwa huko kwa manufaa ya Wanyonge.

Ni wengi tunafurahia sana demokrasia hii kupitia chaguzi hizi za mara kwa mara.
 
Kwa maoni ya jamiiforums KENYATTA ni best president lakini kwa maoni ya Africa na data zote zote zilizopita zinaonyesha Africa ni Magufuli na Kagame, kwa ufupi one Magufuli ni sawa na Kenyatta 200, big 4 agenda za uhuru ni agenda zote za magufuli zilizoandikwa kwa English.
 
Kuna mwingine hapo hata kwenye uchaguzi mkuu hapatagi hata kura moja, ndio anawatesa kweli maajenti wa kumpitisha bila kushinda.
 
Kwa maoni ya jamiiforums KENYATTA ni best president lakini kwa maoni ya Africa na data zote zote zilizopita zinaonyesha Africa ni Magufuli na Kagame, kwa ufupi one Magufuli ni sawa na Kenyatta 200, big 4 agenda za uhuru ni agenda zote za magufuli zilizoandikwa kwa English.
Agenda gani hizo za kuua wapinzani wao?
 
Agenda gani hizo za kuua wapinzani wao?

Waziri wa mambo ya ndani before Matiangi aliuliwa na magufuli? IT wa tume ya uchaguzi aliuliwa na Magufuli? . Uhuru alianza lini ku fight corruption kama sio baada ya kushinda second term na baada y akuona Magufuli anachukua hatua katika kupambana na rushwa? , elimu bure secondary Kenya ilianza lini kama sio baada ya uhuru kushinda second term na kuona Tanzania Magufuli anatoa elimu bure? mimi sio wajinga wajinga ambao sijuu yanayoendelea nchini Tanzania na Kenya kabla na baada ya uchaguzi, najua agenda za uhuru kabla hata magufuli hajawa Rais wa Tanzania, niambie laptop kwa kila shule mlizipata? mabwa ya chakula aliyowalagai uhuru kwa ajiri ya kilimo yalikamilika? , Magufuli alikuja na elimu bure, kupambana na rushwa, maji na viwanda, same agenda uhuru amechukua akaandika kwa kiingereza aliposhinda awamu ya pili. Kwa mauji Uhuru anaongoza tena kumshinda Magufuli, chaguzi zake zote watu wengi wamekufa, hao niliokutajia hapo juu ni rasharasha tu.
 
Back
Top Bottom