Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
Hivi Tanzania tumeshawahi kutoa Rhodes Scholar kweli?
The answer is yes! Lakini sikumbuki (ma)jina
Hivi Tanzania tumeshawahi kutoa Rhodes Scholar kweli?
Hivi Tanzania tumeshawahi kutoa Rhodes Scholar kweli?
Hivi Tanzania tumeshawahi kutoa Rhodes Scholar kweli?
Kwa wamarekani kuna Scholarships za aina mbili ambazo ni prestigious; Rhodes na Fulbright Scholarships. Ninamfahamu mwalimu wangu mmoja pale UDSM yeye alikuwa ni Fulbright scholar.
Kichuguu,Hapana,sisi hatumo katika nchi zinazhoshindanishwa kwa ajili ya Rhodes Scholarship. Ingawa nchi karibu zote zinazhiriki kwenye competition ya Rhodes Scholarship ni wanachama wa jumuia ya madola (ni USA tu ndiyo mshiriki atokeay nje ya jumuia ya Madola) , Tanzania haikuhusishwa nadhani hasa kutokana na siasa zake za miaka ya sitini za Ujamaa.
Nchi za Afrika zinazoshiriki kwenye Rhodes scholarship zina uhusiano wa kihistoria na biashara alizokuwa akifanya huyo Rhodes za kuchimba madini; nchi hizo ni Australia, Bermuda, Canada, Germany, Hong Kong, India, Jamaica & Commonwealth Caribbean, Kenya, New Zealand, Pakistan, South Africa, Botswana, Lesotho, Malawi, Namibia, Swaziland, USA, Zambia, na Zimbabwe.
Kichuguu,
Asante kwa ufafanuzi. Nadhani mimi nilichanganya Rhodes na Fulbright. Kuna Watanzania wengi tu wamepata Fulbright scholarships.
Kichuguu,
Asante kwa ufafanuzi. Nadhani mimi nilichanganya Rhodes na Fulbright. Kuna Watanzania wengi tu wamepata Fulbright scholarships.
BTW we nyani kwa nini umeuliza hili swali au Ndio Miafrika ndivyo ilivyo.
Hii kitu (Rhodes Scholarship) ni very plestijias. Huwa wanapewa (stipend) bumu la GB-Pound 950 kila mwezi, na ada zote za chuo cha Oxford zinalipiwa. What a comfortable way to earn a degree.
FB Scholars mbona ni wengi mno TZ.prof Lipumba pia ni fullbright scholar.........
Na sidhani in terms of prestige hii Fullbright inalingana na Rhodes scholarship...