RFA&Star Tv: ondoeni huyu msoma magazeti anaboa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RFA&Star Tv: ondoeni huyu msoma magazeti anaboa kweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dosama, Apr 2, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni kwa mara ya pili tunaandika kuhusu msoma magazeti wa star tv na rfa samahani jina limenitoka kwa hasira anakama makengeza flani. Anakera anashika gazeti moja then anajumuisha ndo yote yalivyoandika. Amenifanya nizime tv kwa hasira
   
 2. n

  nya2nya2 Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao nao kama tbc 2,wasikumbue
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mi mwenyewe kaniboa sana anaitwa sijui mzambi........ akisoma gazeti moja na akichukua lingine anasema ni habari zilezile za uchaguzi kama kwenye magazeti mengine kana kwamba habari hiyo imeandikwa kwa mtindo uleule kwenye magazeti yote.
   
 4. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaitwa sijui Mkonda Zambi!
   
 5. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushasema ana maken**** labda ndio yanamsababisha asione?
   
 6. B

  Baba Ludovick Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe ameniboa mpaka nikaamua kufungulia redio nyingine ambazo hazikuwa na uchambuz wa magazeti.
   
 7. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Anaitwa Mkombe Zanda! ndivyo alivyo! hizi TV na REDIO zetu za cku hz nyingi kichefuchefu!
   
 8. luck

  luck JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Anaitwa Mkombe Zanda.
   
 9. k

  kagame Senior Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ilinilazimu kuzima TV kwa usomaji wake ule wa kijinga wa leo wa heading za magazetini, nilidhani kaniudhi miyr binafsi, nashukuru kama wot tumeliona hilo na naomba uongozi wa Sahara Media wamiliki wa Star tv & rfa wafanyie kazi maoni haya ya wadau.
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jamani kumbe na njie mmeonae,huyu mtu anaudhi sana anasoma gazeti la habari leo halafu mengine anasema yana habari hizo hizo.

  najua yahaya muhamed ni memba humu atatusaidia,huyu mkombi zanda hafai na kama mtamwendekeza watazamaji watawahama.
  amenilazimisha kusikiliza rtd asubuhi kwani pamoja na unazi wao wanasoma vizuri kuliko huyo mkombi wenu.

  tunajua redio si mahali pa kpata habari zote lakini redio makini ni ile inayowapa wasikilizaji wake kile wanachotaka.
   
 11. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  kuna umuhimu wa kuwaangalia hawa watangazaji wetu kwa kweli.binafsi huwa nakereka sana na mtu kama huyo utafikili yupo nyumbani kwake anawasomea hadithi watoto wake.na mwingine yupo ATN anaitwa joe thomasy kama sikosei huyu jamaa yeye kwanza hajui kabisa kusoma sijui wametumia vigezo gani kumpa hicho kipindi.pale ATN alikuwepo dada mmoja kwa kweli yule dada alikuwa anjua kusoma magazeti siyo huyo kilaza walie mleta sasa hana lolote.:rockon::tape2:
   
 12. L

  Lsk Senior Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...mi nilidhani ni mimi tu ninayekerwa na usomaji wa huyu kanjanja
   
 13. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nlifikiri ni mimi pekeyangu
   
 14. O

  Omumura JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  star tv nao wameshanunuliwa na magamba,siku hizi wakuu kimbilio la wanyonge kupata habari za magazeti ni chanel Ten tu! matangazaji ya star tv kwenye magazeti yote pumba tu,yalaaniwe!
   
 15. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  Naomba ubadilishe Avatar yako inatia hasira sana
   
 16. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa kusema kweli leo ametia kichefu chefu wengi tulilazimka kufungulia redio nyingine kama mimi nilikimbilia moshi fm na radio maria lakini kweli aliniput off
   
 17. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,072
  Likes Received: 1,372
  Trophy Points: 280
  ni uccm ndo unamsumbua anasoma uhuru then anasema yote yamejirudia hivyo hv anataaluma kweli ya habari huyo kanjanja?kwani yeye kawa judge aache sisi ndo tuamue ujinga wake yeye wa kuwa mvivu kufikiri anafikiri sote ni kama yeye star tv muondoeni haraka huyu kanjanja tunaamn star tv ndo iko fair ground kwa habari kwa sasa
   
 18. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hata leo c amesoma tahariri ya gazeti la uhuru ili tu kukifariji chama cha mapindubweeeee
   
 19. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Tangu aondoke Hamisi Dambaya na baadaye Lilian Mtono, kipindi kinaboa. Kwanza wanachelewa kuanza na hivyo muda kuwa mchache sana.
  SIku hizi huwa nafungulia Magic FM, wao wako sharp na ikifika 12.30 wameshaanza kipindi.
   
 20. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,217
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280

  Kaazi kweli kweli. Of course kanaboa sana. Anafanya kazi yake utadhani kalazimishwa

  :frusty:
   
Loading...