RFA: Kisandu apigwa nyundo Urais

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
asubuhi matukio nimesikia radio free kuwa wananchi wa kahama wamemzuia kugombea urais alipokuwa anaongea na waandishi wa habari mjini kahama jana.. wananchi wamemtaka kugombea ubunge kwanza japo amewaahidi atafikiria ila hana uhakika.
sourcr. rfa
 
Kwanini unakera wadau wako asubuhi hii? Unaleta mada za kijijini kwenu na kuyafanya ya kitaifa. Who the hell is Kisandu?
 
asubuhi matukio nimesikia radio free kuwa wananchi wa kahama wamemzuia kugombea urais alipokuwa anaongea na waandishi wa habari mjini kahama jana.. wananchi wamemtaka kugombea ubunge kwanza japo amewaahidi atafikiria ila hana uhakika.
sourcr. rfa

wewe si ndo Kisandu? nilisha wahi sema inabidi MOD wafanyie kazi swala la ID make JF members ni wachache sana ila ID nzo nyingi kuna watu wana hadi ID 30. Hivyo tunajua wewe ndo Kisandu.
 
kumbe Kisandu anakutesa sana. Basi kila ID humu jf ni kisandu, acha ushamba wewe ufipa
 
huyo dogo hadhi yake ni uwenyekiti wa mtaa lakini kuianzia udiwani kwenda juu hizo ngazi zimemzidi
 
kuna viti vingi sana vyenye maana vya kujadili hapa na sio kisandu mtu ambaye hata akigombea udiwan katika kata yake ya busoka sidhani kama hata shinda
 
Back
Top Bottom