Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Acha kutukana bibi zetu wewe....Siyo kosa lako ni matatizo ya mitoto yote iliyolelewa na bibi zao.
hahahahah,,, si tumezani mtoto wa mkuu wa kaya a.k.a M K w e R E, kumbe mwingne bana,,,,
ndio maana nasisitiza wewe kilazaSiyo kosa lako ni matatizo ya mitoto yote iliyolelewa na bibi zao.
ata mimi bwana..hahahaahahahahah,,, si tumezani mtoto wa mkuu wa kaya a.k.a M K w e R E, kumbe mwingne bana,,,,
hbu jiheshimuSiyo kosa lako ni matatizo ya mitoto yote iliyolelewa na bibi zao.
Siyo kosa lako ni matatizo ya mitoto yote iliyolelewa na bibi zao.
Raia mmoja wa Marekani ambaye ni mfuasi wa kundi la al Qaeda, amekamatwa kwa madai ya kupanga kuishambulia wizara ya ulinzi ya nchi hiyo, Pentagon, na bunge kutumia ndege zisizokuwa na rubani na zilizosheheni mabomu na vifaa vya kuripuka. Rezwan Ferdaus mwenye umri wa miaka 26 alikamatwa jana karibu na Boston na ameshtakiwa kwa kupanga njama hiyo ya mashambulio ya mabomu ya angani. Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI, waliojifanya kuwa wanachama wa al Qaeda, na washirika wa mshukiwa huyo walimpelekea ndege inayoendeshwa kutoka mbali kutumia kifaa cha elektroniki, mabomu na silaha ndogo kabla kumkamata.