Rezwan Adakwa na FBI kwa kutaka kuilipua America

Aaghh! Furaha yangu yote imeyeyuka. Umeharibu cku yangu kabisa hebu toa 3d yako hapa peleka kwingine, nadhani kwenye jokes itafaa zaidi.
 
Brother ebu kajiunge kwenye kundi lolote la mambo ya jokes nadhani kutakufaa zaidi.
REZWAN FERDAUS?
Umeturusha stimu.
 
Raia mmoja wa Marekani ambaye ni mfuasi wa kundi la al Qaeda, amekamatwa kwa madai ya kupanga kuishambulia wizara ya ulinzi ya nchi hiyo, Pentagon, na bunge kutumia ndege zisizokuwa na rubani na zilizosheheni mabomu na vifaa vya kuripuka. Rezwan Ferdaus mwenye umri wa miaka 26 alikamatwa jana karibu na Boston na ameshtakiwa kwa kupanga njama hiyo ya mashambulio ya mabomu ya angani. Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI, waliojifanya kuwa wanachama wa al Qaeda, na washirika wa mshukiwa huyo walimpelekea ndege inayoendeshwa kutoka mbali kutumia kifaa cha elektroniki, mabomu na silaha ndogo kabla kumkamata.
 
Nliisha anza kufanya sherehe huku,kumbe co nliekua namdhania?
 
Siyo kosa lako ni matatizo ya mitoto yote iliyolelewa na bibi zao.

Kwa maana hiyo wewe ni litoto ulilelelewa na nani ? Na watu wakigeneralise kukutathmini kuzingatia aliyekuelea inatakiwa wa conclude nini? Ebu jihukumu
 
Raia mmoja wa Marekani ambaye ni mfuasi wa kundi la al Qaeda, amekamatwa kwa madai ya kupanga kuishambulia wizara ya ulinzi ya nchi hiyo, Pentagon, na bunge kutumia ndege zisizokuwa na rubani na zilizosheheni mabomu na vifaa vya kuripuka. Rezwan Ferdaus mwenye umri wa miaka 26 alikamatwa jana karibu na Boston na ameshtakiwa kwa kupanga njama hiyo ya mashambulio ya mabomu ya angani. Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI, waliojifanya kuwa wanachama wa al Qaeda, na washirika wa mshukiwa huyo walimpelekea ndege inayoendeshwa kutoka mbali kutumia kifaa cha elektroniki, mabomu na silaha ndogo kabla kumkamata.

Yaani wanapandikiza ushahidi, halafu wanamkamata...hii inaitwa kum-bambikizia mtu kesi.

Hili tukio linakaribiana na 911. ..911 walifanya kweli tu..walikamilisha matukio. Waliipiga Pentagon kwa misisile na kuutangazia ulimwengu kuwa Li-boeng ndio limepita na kupotea katika "katundu" kadogo.
Pentagon hit by missile - YouTube

FBI footage: missile hits the pentagon - YouTube

NO PLANES ON 911 EXPOSED by FOX NEWS Expert Interviewee - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Nani alitega mabomu katika majengo haya? Twin towers. Ni wazi hakuwa Rizwan. Mdogo wa Bush ndiye ambaye alikuwa na kampuni linalotoa ulinzi, uangalizi katika majengo hayo

Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom