Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
- Thread starter
- #41
denooJ demokrasia na maendeleo ni vitu 'parallel ' sio 'perpendicular'. Kila kimoja kina umuhimu wake kivyake lakini kuongezeka kwa kimoja hakusababishi kuongezeka kwa kingine na kinyume chake. Kwa lugha rahisi ni chai na mkate, kuongezeka kwa chai hakupelekei kuongezeka kwa mkate japo ukila mkate na chai inapendeza zaidi.