Revised Min wages - Private Sector

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kwa wale ambao hawakupata kujua ukweli ulivyo ni kama inavyoonyeshwa kwenye attachment hapa chini.

Karibu
 
Attachments

  • Revised Min wages Prvt Sectors.pdf
    57.7 KB · Views: 228
The cost of living between rural areas and urban areas is the same... is that so, because this is major assumption..
 
Govt scales down minimum wage

2008-01-11 09:53:48
By Hannah Mwandoloma

The government yesterday announced that it had reduced the minimum wage for private sector workers in the manufacturing subsector, particularly industries, from 150,000/- to 80,000/- per month.

Labour, Employment and Youth Development minister John Chiligati said at a Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) breakfast session in Dar es Salaam yesterday that the government had decided to review the wages downwards after lengthy discussions with stakeholders and the wage board.

Chiligati elaborated that the amendments were in respect of workers in export-oriented and labour-intensive industries.

``These amendments have been made to accommodate genuine fears of losing external markets to competitors if our exports become too expensive,`` said Chiligati.

He said the government considered a situation where industries had to either wind up their businesses or lay off a big number of workers. To save both employer and worker, the government resorted to flexible options.

In her welcoming remarks, TPSF chairperson Ester Mkwizu said that the increase in electricity tariffs and statutory minimum wages would increase the cost of production in the private sector.

Mkwizu cited a recent study by the Confederation of Tanzania Industries (CTI) which showed that an increase in the statutory minimum wage from 48,000/- to 150,000/- alone would erode the manufacturing industry\'s unit selling price margins by between 73 per cent and 800 per cent.

``We recommend that an in-depth study on the social and economic implications of the new minimum wage in the private sector and economy as a whole be carried out,`` said Mkwizu.

CTI executive director Christine Kilindu said that consultations should continue to ensure workers benefit and industries continue to be sustainable to create more jobs.

SOURCE: Guardian
 
Hivi hawa waheshimiwa wakati wanapandisha hiyo mishahara hawakufanya utafiti kwanza wa uwezekano wa makampuni kuweza kulipa hiyo mishahara na madhara yake kwenye uchumi wa nchi kwa ujumla?

Inaonesha ni jinsi gani watanzania tunavyofanya mambo kienyeji tu. We have a long way to go.
 
UNASHANGAA YA MUSSA!!!!
 
chiligati alikuwa mkuu wa wilaya temeke,hata tv alikuwa hana nyumbani kwake,kaja nunua wakati amepata kuteuliwa kuwa naibu waziri wa mambo ya ndani
 
chiligati alikuwa mkuu wa wilaya temeke,hata tv alikuwa hana nyumbani kwake,kaja nunua wakati amepata kuteuliwa kuwa naibu waziri wa mambo ya ndani

Kwa hiyo tuseme alikuwa hajawa 'fisadi', au vipi?

Na sasa je, anayo mashangingi mangapi, na flat panel ngapi? kanunua kwa pesa ya wizi au kakopa!

Kama hajaiba, na anachapa kazi vizuri, basi tumpongeze bila ya kujali alikuwa na vitu kiasi gani kabla ya uwaziri.
 
Jamani hii 80,000 net itatosha au ndo...Mi nionavyo ni kuandaa KUNDI la VIBAKA wa KUPORA hao VIMA VYA JUU...

Wenzetu wanaotoa hio kima cha chini kidogo alau wanaweka Labor Camps, MSOSI, UMEME, MAJI USAFIRI FREE...Huu utaratibu wa kumpa mtu 80,000, then AJITEGEMEE MAJI, UMEME, MSOSI, USAFIRI MALAZI ni kuongeza kundi la wabakaji usiku.

Bahati Mbaya kama ushakuwa Civil Engineer na uone namna hawa Wakubwa wanavyowanyonyesha KCC wetu inatia HURUMA.

Rafiki yangu wakati najadiliana nae mambo ya Umma wetu wa Tanzania yeye akanipa mfano HALISI.ALIpewa tender ya kusimamia moja ya Jengo UDSM. Wale MAKULI/VIBARUA walikuwa wanalipwa 1500 kwa siku.Pesa Halisi iliyoandikwa ktk Bajeti ni 3000 kwa siku.(hii ilikuwa 2001-2003).Pia imeandikwa ujenzi wa Zege wa ukuta xyz utahitaji vibarua 100, Wao watachukua vibarua 50, that means ujenzi hautoweza kwisho siku hio. Hivyo itabidi vibarua wafanye OVERTIME. Kufanya overtime gharama HALISI iliyomo ktk bajet ni 1000 kwa saa. Hapa Makuli watalipwa 500. Hapo WAJENZI washasave kiasi Gani-->Piga hesabu mwenyewe...

KULI/KIBARUA hawawezi kusavive na pesa ile, Huwezi kwenda Kula sehem nzuri. pale UDSM yale makombo ya wanafunzi hayatupwi...yanawekwa uzuri wanakuja kuuziwa hawa Makuli/VIBARUA...Sasa ukija wewe Fundi Makuli/Vibarua wanaanza kulilia oohh Fundi mie sijapata CHOO siku ya Tatu sasa fanya Mpango wa PAPAI...

itabidi aende akalale K/KOO barabarani...(kama uamini pita usiku mitaa ya k/koo,msimbazi etc), kwa utaratibu huu...Hata majengo ya K/KOO na sehem zingine itabidi makuli waende kula makoko... kwa mama NTILIE/MAMA LISHE....HALI MBAYA..sijui viwandani maana unavyowakuta akina dada wakitoka huko viwandani...ohh nisipate UONGOZI...
 
Hivi hawa waheshimiwa wakati wanapandisha hiyo mishahara hawakufanya utafiti kwanza wa uwezekano wa makampuni kuweza kulipa hiyo mishahara na madhara yake kwenye uchumi wa nchi kwa ujumla?

Inaonesha ni jinsi gani watanzania tunavyofanya mambo kienyeji tu. We have a long way to go.

..ile ya awali ilikuwa siasa!sasa wakajagundua kuwa si kila sehemu unaleta mzaha wa kisiasa. ndio haya sasa!
 
Hapa ninakuja na issue mbili tofauti ambazo hazina uhusino wa karibu sana na mada hii ingawa zinatokana na yale yaliyomo katika document za Captain Chiligati ilyopo mwanzoni mwa mada hii. Jambo la kwanza linahusu titles za viongozi wetu, na la pili ni kuhusu matumizi ya lugha katika documents za serikali.

  1. (a) Imekuwa ni kawaida ya viongozi wetu wenye backgorund ya jeshi na vyuo kutunza titles zao. Kwa mfano, Professor ni cheo chaa mwalimu wa chuo kikuu, lakini utakuta mtu alieyach ufundishaji miaka mingi na kujikta kwenye siasa anaendelea kuitwa professor katika majukumu ambayo hayana uhusino na uprofessor wake, kwa mfano Professor Kapuya, Professor Sarungi, Professor Mwandosya, n.k. Vile vile, Captain, Major, Luteni, General, Brigadier, Sajenti n.k., ni vyeo vya wanajeshi. Lakini kuna watu wanaendelea kutumia vyeo hivyo huku wakiwa na madaraka ya kiraia, kwa mfano huyu Captain Chiligati wa Wizara hii. Je ni halali kwa rais J. K. I. Kwete naye kuendelea kujiita Lt. Col. J. M. Kikwete?

    Nadhani inabidi tubadilike kidogo; tusiendeleze titles za kazi fani fulani katika mazingira yasiyohusika. Tutakuja ishia kuwa na wanasiasa wenye titles zenye kuleta hisia mbaya katika jamii, kwa mfano Mchungaji Rwakatare. ambayo inaweza kuwafanya watu wa dini fulani wasimwone kama kiongozi wao.

    Udaktari ni title ya kudumu inayojulikana duniani kote kumtambulsiha kuwa ana elimu ya kiwango hicho. Mtu anaweza kuitumia title ya Dr. So and So katika mazingira yoyote yale iwe ni kazi za kisiasa au la. Hata hivyo huwa siyo lazima kuitumia title hiyo, kwa mfano Condoleeza Rice na Mama Albright hawakuwahi kuzitumia.
  2. Sikuridhika na kiwango cha lugha kilichotumika katika utayarishaji wa document hii:
    1. Mara kwa mara sentence structures zilikuwa kama ni tafsiri ya moja kwa moja kutoka kiswahili kwenda kiingereza. Kwa mfano katika section hii niliyo-quote hapa, mwanashi ametumia maneno Initially na Secondly kwa maana ya kishwahili ya "Kwanza" na "Pili" katika sequence bila kuangalia kuwa neno "initial" halina maana ya "mwanzo wa sequence" fulani. Huwezi kusema kuwa katika mashindano ya riadha mshindi initial alikuwa Invisible akapata medali ya dhahbu, halafu second Kichuguu akapata medali ya mbao, etc.

      2. STEPS TAKEN TO DEAL WITH THESE COMPLAINTS

      Initially, following the steps taken by employers to reduce their workforce, the Government extended the effective date of the new wages from Nov 2007 to Jan 2008 so as to allow employers to budget the new wages. This step helped in containing the wave of workers being reduced from employment.

      Secondly after receiving complaints from Employers and Employees especially from the sectors of Industry, Agriculture and Mining the Government ordered the Wages Boards of these sectors to meet
      with the complainants, consider their views and work on them to find solutions.
    2. Katika maeneo mengi sana hakutumia punctuation ipasavyo, hasa comma na semicolon. Kwa mfano katika sentense paragraph ifuatayo utaona kuwa semicoloni niliyoweka rangi nyekundu haikutimika ipasavyo. Vile vile neno "etc" limeonekana kama ni neno kamili badala ya kuwa abbreviation ya "et cetera." Hii inatokana na mwandishi kutotumia period na comma ipasavyo.

      The Board after considering complaints by mine owners and recommendation to Government, a decision has been reached that the minimum wage of Tshs 350,000/= is to remain in force; except that the fringe benefits such as food, transport, housing, medical etc allowances are being rescinded from the Wage Order and instead will be subject to negotiations between employers and employees. This indeed is the task of workers unions within workplaces.

      Nawachia wenzangu mniambie hiyo sentensi niliyoke bluu hapo juu kama kweli ni sentensi ya kiingereza na ina maana gani.

    3. Matumizi ya articles "the" "a" na "an" hayakufanywa ipasavyo. Kuna sehemu nyingi sana ambako nouns zimetukia bila kuwa na article. Kwa mfano angalia hapa:
      These recommendations – amongst others – took into account the following factors.
      (i) Each sector considered condition of employment along with profitability and cost of living with employers' ability to pay.

      (ii) That the new minimum wages for every sector will be applicable to all employers in that sector whether in rural or urban areas; because there is no difference in rural/urban costs of living.

      (iii) That since within the sectors there are differences in volume of production and capital investment the Wages Boards have fixed different minimum wage rates depending on size of
      income of the employer
      .
    Kuna wakati nilikuwa nasoma mojawapo ya document za serikali kuhusu sheria fulani nikakuta matatizo hayo ya lugha. Ningeshuri serikali iwe na wataalamu wa lugha ya kiingereza kuwa wanahakiki document za serikali ili ziwe katika kiwango cha kuridhisa kabla ya kutolewa kwa umma.
 
Back
Top Bottom