Review Classes

jiga2009

Member
Jul 3, 2008
8
0
NAPENDA KUWATANGAZIA KWAMBA CPA REVIEW CLASSES KWA WALE WANAFUNZI WANAOTEGEMEA KUFANYA MTIHANI MWEZI NOVEMBER MWAKA 2008 KWAMBA MADARASA YATAANZA HIVI KARIBUNI PALE SHULE YA MSINGI ILALA BOMA KUANZIA TAREHE 10.07.08.
MASOMO YATOLEWAYO
FINANCIAL REPORTING 1 (for Module C) shs 80,000
FINANCIAL REPORTING 2 (for Module E) shs 100,000
PUBLIC FINANCE & TAXATION ( for Module E) shs 75,000
AUDITING & ASSURANCE for Module F ) shs 80,000
HAKUNA UBABAISHAJI,NA UTAFUNDISHWA NA WALIMU CHIPUKIZI NA WALIOBOBEA KATIKA FANI
Kwa maelezo zaidi piga simu zifuatazo utapata msaada zaidi 0737 000751 na 0713434295
Actually we are serious trainers
Education For Life
Note;upatapo tangazo hili mwalifu na mwenzio
 
Hamfundishi Management Accounting(module F) jamani huko? Mimi nna tatizo miaka nenda rudi na hiyo management accounting!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom