Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

TUENDELEE..

Mazungumzo na yule binti yakaanza huku tunakula, akasema amesikia kilichompata rafiki yake, cha ajabu huyu binti hakuonesha kusikitika bali alinipongeza kwa maamuzi yale ya kiume, na akasema anapenda mwanaume mwenye misimamo km mimi. Akanieleza jinsi alivyokuwa ananisaliti na yeye akawa anajaribu kumshauri sana kuhusu ile tabia mbaya lakin haikusaidia. Nayeye nikamuona ana mambo ya kipuuzi puuzi, km alikuwa anajua yote hayo kwanin hakuinterven kipindi kile kile, nikajua ni mbongo km walivyo wabongo wengine tu. Muda ukawa unaenda huku tukipiga story mara giza likaingia.

Nikamwambia aingie kweny gari nimpeleke kwake anakoishi akaanza mapozi yake ya kingese, mara ooh amefanya usafi amechoka, so anaomba apumzike kidogo pale kwangu, sijui nyumba kubwa km ile why aniache peke yangu, mara sijui nina mawazo meng so aniliwaze tupige story then ataenda, nilishajua anataka nin but nikawa namuona km ndezi tu maana sinaga muda na kufanya mapenz na mwanamke nisiye na mpango naye. Nikamwambia poa abaki muda wa kuondoka ukifika atasema, akaenda jikoni akawa yupo buzy na vyombo huko na usafi wa jiko. Mara saa 3 usiku hii hapa, binti yupo tu. Nikamshtua kuondoka akasema muda umeenda sana na pale kwao kuna geti na rafiki yake anayemfunguliaga geti hayupo akaomba abaki hadi kesho, nikamwambia fresh tu.

Nyumba yangu ni kubwa tu, nikampeleka chumba kingine akalale huko, namimi nikawasha gari kwenda kuangalia mechi ya Liver usiku ule, akaomba namba yangu kwamba usiku ikitokea shida iwe rahis kunishtua, nikaona sio shida. Nikiwa mpiran akawa ananitext msg za kijinga jinga, mara baridi mara sijui anaogopa na upuuzi mwing mwingi, mechi ilivyoisha nikarud nikampigia aje kinifungulia geti, akaja yupo na khanga moja akanikumbatia eti alinimiss, toto la kimbulu lile mashallah kweli kweli, tako km lina spring hivi, linanesa nesa ndani ya khanga, chuchu konzi, guu la haja, nikasema hapa pagumu leo, ila nikazimilia kwamba sitafuni huyu binti.

Tukaingia ndan, nikamuwish usiku mwema nikaingia chumban kwang, nikaoga then nikajipumzisha, haikupita muda bint akagonga mlango wangu, nikamfungulia, akaingia room kwang na akaniomba nimruhusu alale mule ndan kwangu maana kule anaogopa usiku ule na hawezi kupata usingizi, nikaona mtego huu ila lazima nikomae hata kifo nisimtafune Yule mtoto, maana nikimla itakuw kosa kubwa lazima afanye juu chini ijulikane then rafiki yake akijua atapata cha kusema kwamba nimemkazia kwa ajili ya yule rafiki yake.

Naapa kabisa kwa miungu yote yule binti sikumla siku ile, alilala ghetton kwang lakin lile jaribu nililishinda. Asubuh akaniandalia chai akasepa, akiwa njian akaniandikia text kwamba hajawahi kukutana na mwanaume wala kuwaza km kuna mwanaume mwenye msimamo km mim Dunian, akachanika wazi kwamba amenielewa, anaomba tufanye maisha, nikamuuliza vp kuhusu rafiki yake akijua, akadai rafiki yake sio ndugu, so tunaweza kuwa wapenz, nikaona ni upuuzi nikamwambia aachane na hiyo idea maana haiwezekani.

Akawa msumbufu, bahati nzuri muda wa mapunziko ukaisha nikarudi kazin, kwa kuwa Tanga nilikuwa tayari nimekamilisha mission iliyonipeleka sasa nikahamia morogoro kuendelea na mission ya majukumu yangu.

Nikiwa morogoro nikapata simu kutoka kwa mama wa yule binti....

ITAENDELEA...

Mrejesho: Sehemu ya tano
 
Kuna watu humu wananiita mimi katili lakin wanasahau ukatili niliifanyiwa na huyu binti, mazee huyu binti nimewahi kumpa million 1 na laki 2 kwaajili ya kumsaidia kweny msala fulan, nikiona itafaa nitaujumuisha huko mbele. Nilimpenda na kumpa good life la viwango vya juu. Acheni nyie
 
I feel you.
 
Anyway, kumuacha ilikuwa sahihi kabisa. Kisasi kilipaswa kuishia hapo.

Ila kuendelea kung'ang'ania kutomsamehe na kukubali kuongea naye ni udhaifu mkubwa sana..

Ugumu ni kukubali kuongea naye kwa manufaa ya akili na afya yake lakini kutokuwa tayari kabisa kuwa kwenye mahusiano naye..

Lakini wewe hukuwa tayari kwa sababu ni udhaifu wako uliamini ukidiriki kuongea naye basi ungerudiana naye.
 
Kuna watu humu wananiita mimi katili lakin wanasahau ukatili niliifanyiwa na huyu binti, mazee huyu binti nimewahi kumpa million 1 na laki 2 kwaajili ya kumsaidia kweny msala fulan, nikiona itafaa nitaujumuisha huko mbele. Nilimpenda na kumpa good life la viwango vya juu. Acheni nyie
Pole sana mkuu, naombabuendelee kutuandikia mkasa mzima yaani huwezi amini nimeacha kazi zangu na vyote ili tu nimalizie huu mkasa wa mrejesho unaotupatia, walau kuna jambo nitajifunza toka kwako. Please malizia mkuu

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Huyo binti amepata anachostahili,mtu unapendwa kwa moyo wote na bado unatahadharishwa kwamba uwe mkweli lakini bado unafanya ufuska mbaya zaidi uko radhi kutoa hadi tigo wakati ukijua kwamba una mchumba anayekupenda na yupo tayari kuwa mume wako na nyumbani kwenu wanamjua.

Hata mimi ningempiga chini ila sio kwa namna aliyofanya jamaa,pengine ningeenda mwenyewe tu kwa wazazi na kutoa ushahidi wote na kuwaambia kwamba mpango wa ndoa haupo tena.

Ningemtangazia msamaha lakini sio kurudiana kimahusiano wala kuwa karibu nae ili namimi Mungu aweze kunisamehe kwa makosa yangu,lakini pia kuondoa mzigo moyoni na kuachilia kile kilichonisonga.

Naelewa uchungu wako mleta mada,ulifanya ulichoona ni sahihi kufanya labda ngoja tuone mwisho wa sakata ukoje hapo ndio tutoe mawazo yetu.
 
Malipo ni hapa hapa Duniani naona unasifiwa sana kwa maamuzi yako ya kijinga.

Wewe ni mkamilifu sana usiekosea? Wewe toka umekua umekua faithfull hadi leo? Haukosei watu?

Hukumu na Malipizi ni ya Bwana. Utakumbuka siku moja ujumbe huu..

Hakuna aliyejitosheleza na Hakuna asiyekosea ndio maana ya neno Binadamu.

Asiyekosea ni Mungu tu.

Sasa Mkuu haya si ndio malipo kwa binti au hautaki??.

Mwenyewe umesema malipo ni hapa hapa duniani.

Sasa kaa kwa paswod binti anapopokea malipo yake. Acha lawama boss.
 
Kuna watu humu wananiita mimi katili lakin wanasahau ukatili niliifanyiwa na huyu binti, mazee huyu binti nimewahi kumpa million 1 na laki 2 kwaajili ya kumsaidia kweny msala fulan, nikiona itafaa nitaujumuisha huko mbele. Nilimpenda na kumpa good life la viwango vya juu. Acheni nyie
I feel you bro

#YNWA
 
Mnaosema mwamba katili mnakosea sana ni sawa na mtoto achapwe saa moja asubuhi alafu alie hadi saa 12 jioni majirani wasikie vilio huko nje waanze kusema mtu anayemchapa huyo mtoto ni katili. Kumbe dogo ni kaamua kulia tu mwenyewe.

Binti na wazazi wake waache kulia lia waendelee na mishe zao. Pengine siku ile ile wangempotezea mwamba leo mwamba ndio angekuwa na stress maana angeona hajafanikiwa kisasi chake.

Mwamba umejua kuwaheshimu watoto wako maana kuwa na mama mgawa ndogo inaumaaa.
 
Mama wa binti alinipigia simu muda huo ni mwaka hivi umepita, akawa anasema kuna mwnaume amepatikana wa kumuoa binti yake ila binti hatak anaogopa usije ukaamua kumsamehe alafu ukarudi ukakuta ameolewa maana bado ananisubirj, hivyo anaomba niongee naye nimwambie nimeshaoa ikiwezekana mama atafinance ipatikane hata picha kwamba nimefunga ndoa alafu nimtumie binti ili moyo wa binti ukubali kuniachia, nikakataa. Akawa analia sasa yule mama kwenye simu, anaongea huku analia, daah huruma ikanijia hapa, nikamwambia sawa, sitaki afinance chochote ampelekee binti simu nitaongea naye na kama haamin hizo picha mimi nitamtumia, baadae nikaona sina sababu ya kumuonea huruma yule binti nikawaza nimpige tukio lingine hapa.

Nikawaza nimuite Yule binti ambaye ni rafiki yake aje, twende kwenye maduka ya nguo za harusi tukodi nguo ili tupigie picha alafu tuzitume hizo picha azidi kuonja joto la jiwe, nikiwa katikati ya mawazo hayo nikaona nimshirikishe yule mshkaji wangu hili wazo, jamaa alinisihi sana nisifanye hivyo akasema ninakoenda huko naenda kumpoka shetan majukumu yake namim ndo nitakalia kiti cha shetan sasa, maana shetan mwenyewe hayupo km mim endapo nitafkia huko.

Nikapima nikaona niachane na hiyo kitu, nikaongea na binti akawa anazid kuomba msamaha na haamin km ile anayoisikia ni sauti yangu eti, nakamwambia nishakusamehe ila mapenz mim nawew hakuna tena, nimekupigia simu hii baada ya mama yako kuniambia hutaki kuolewa eti unanisubiri mimi, nikamweleza mim nimeshaoa tayari na haiji kutokea ukaishi namimi tena, akajiliza liza pale akasema haamin hadi aone picha za harus labda ataamini, nikafanya mchakato wa hizo picha baada ya siku 2 nikamtumia.

Akasema ananipenda sana, na hana jinsi tu lakin yupo tayari awe mke wa pili au haya mchepuko kwangu kuliko kuolewa na mwanaume mwingine, nikamuona hanazo kabisa, nikaachana naye, nikamwambia mama yake nishafanya alichoniomba kufanya so naamin binti yake sas ataishi kwa amani alinishukuru sana. Nikamwambia fresh, akataka kunilipa nikamwambia aachane na hilo wazo la kipuuzi.

Maisha yakaendelea, nikasahau kabisa habari za yule binti ila alikuwa haishi kunitumia tumia msg, miaka takriban miwili ikapita nikapata mchongo fulan hivi kwenda Sweden kwa miezi minne, hiyo ilikuwa mwaka jana sasa mwezi wa 3, mwezi wa saba nikarud kuendelea na majukum yangu km kawaida. Nikawa naishi maisha yangu, fresh tu. No dem wala nin hapo.

Sasa nikasema nilete mrejesho mwaka jana hiyo baada ya kuona mambo yametulia tu fresh, nikaona sio poa kuwa kimya huku JF.. nilipanga kesho yake nianze kuandika sasa, usiku ule nikapokea simu, ni ya mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni wa mume wa yule binti...

ITAENDELEA...

Mrejesho: Sehemu ya sita
 
Piga post MOJA yenye rejeo loote...

#YNWA
 
TUENDELEE..

Mazungumzo na yule binti yakaanza huku tunakula, akasema amesikia kilichompata rafiki yake, cha ajabu huyu binti hakuonesha kusikitika bali alinipongeza kwa maamuzi yale ya kiume, na akasema anapenda mwanaume mwenye misimamo km mimi. Akanieleza jinsi alivyokuwa ananisaliti na yeye akawa anajaribu kumshauri sana kuhusu ile tabia mbaya lakin haikusaidia. Nayeye nikamuona ana mambo ya kipuuzi puuzi, km alikuwa anajua yote hayo kwanin hakuinterven kipindi kile kile, nikajua ni mbongo km walivyo wabongo wengine tu. Muda ukawa unaenda huku tukipiga story mara giza likaingia.

Nikamwambia aingie kweny gari nimpeleke kwake anakoishi akaanza mapozi yake ya kingese, mara ooh amefanya usafi amechoka, so anaomba apumzike kidogo pale kwangu, sijui nyumba kubwa km ile why aniache peke yangu, mara sijui nina mawazo meng so aniliwaze tupige story then ataenda, nilishajua anataka nin but nikawa namuona km ndezi tu maana sinaga muda na kufanya mapenz na mwanamke nisiye na mpango naye. Nikamwambia poa abaki muda wa kuondoka ukifika atasema, akaenda jikoni akawa yupo buzy na vyombo huko na usafi wa jiko. Mara saa 3 usiku hii hapa, binti yupo tu. Nikamshtua kuondoka akasema muda umeenda sana na pale kwao kuna geti na rafiki yake anayemfunguliaga geti hayupo akaomba abaki hadi kesho, nikamwambia fresh tu.

Nyumba yangu ni kubwa tu, nikampeleka chumba kingine akalale huko, namimi nikawasha gari kwenda kuangalia mechi ya Liver usiku ule, akaomba namba yangu kwamba usiku ikitokea shida iwe rahis kunishtua, nikaona sio shida. Nikiwa mpiran akawa ananitext msg za kijinga jinga, mara baridi mara sijui anaogopa na upuuzi mwing mwingi, mechi ilivyoisha nikarud nikampigia aje kinifungulia geti, akaja yupo na khanga moja akanikumbatia eti alinimiss, toto la kimbulu lile mashallah kweli kweli, tako km lina spring hivi, linanesa nesa ndani ya khanga, chuchu konzi, guu la haja, nikasema hapa pagumu leo, ila nikazimilia kwamba sitafuni huyu binti.

Tukaingia ndan, nikamuwish usiku mwema nikaingia chumban kwang, nikaoga then nikajipumzisha, haikupita muda bint akagonga mlango wangu, nikamfungulia, akaingia room kwang na akaniomba nimruhusu alale mule ndan kwangu maana kule anaogopa usiku ule na hawezi kupata usingizi, nikaona mtego huu ila lazima nikomae hata kifo nisimtafune Yule mtoto, maana nikimla itakuw kosa kubwa lazima afanye juu chini ijulikane then rafiki yake akijua atapata cha kusema kwamba nimemkazia kwa ajili ya yule rafiki yake.

Naapa kabisa kwa miungu yote yule binti sikumla siku ile, alilala ghetton kwang lakin lile jaribu nililishinda. Asubuh akaniandalia chai akasepa, akiwa njian akaniandikia text kwamba hajawahi kukutana na mwanaume wala kuwaza km kuna mwanaume mwenye msimamo km mim Dunian, akachanika wazi kwamba amenielewa, anaomba tufanye maisha, nikamuuliza vp kuhusu rafiki yake akijua, akadai rafiki yake sio ndugu, so tunaweza kuwa wapenz, nikaona ni upuuzi nikamwambia aachane na hiyo idea maana haiwezekani.

Akawa msumbufu, bahati nzuri muda wa mapunziko ukaisha nikarudi kazin, kwa kuwa Tanga nilikuwa tayari nimekamilisha mission iliyonipeleka sasa nikahamia morogoro kuendelea na mission ya majukumu yangu.

Nikiwa morogoro nikapata simu kutoka kwa mama wa yule binti....

ITAENDELEA...
Hiki kipande nimekipenda,(ulionesha maturity ya hali ya juu) it seems you're very smart
 
Mama wa binti alinipigia simu muda huo ni mwaka hivi umepita, akawa anasema kuna mwnaume amepatikana wa kumuoa binti yake ila binti hatak anaogopa usije ukaamua kumsamehe alafu ukarudi ukakuta ameolewa maana bado ananisubirj, hivyo anaomba niongee naye nimwambie nimeshaoa ikiwezekana mama atafinance ipatikane hata picha kwamba nimefunga ndoa alafu nimtumie binti ili moyo wa binti ukubali kuniachia, nikakataa. Akawa analia sasa yule mama kwenye simu, anaongea huku analia, daah huruma ikanijia hapa, nikamwambia sawa, sitaki afinance chochote ampelekee binti simu nitaongea naye na kama haamin hizo picha mimi nitamtumia, baadae nikaona sina sababu ya kumuonea huruma yule binti nikawaza nimpige tukio lingine hapa.

Nikawaza nimuite Yule binti ambaye ni rafiki yake aje, twende kwenye maduka ya nguo za harusi tukodi nguo ili tupigie picha alafu tuzitume hizo picha azidi kuonja joto la jiwe, nikiwa katikati ya mawazo hayo nikaona nimshirikishe yule mshkaji wangu hili wazo, jamaa alinisihi sana nisifanye hivyo akasema ninakoenda huko naenda kumpoka shetan majukumu yake namim ndo nitakalia kiti cha shetan sasa, maana shetan mwenyewe hayupo km mim endapo nitafkia huko.

Nikapima nikaona niachane na hiyo kitu, nikaongea na binti akawa anazid kuomba msamaha na haamin km ile anayoisikia ni sauti yangu eti, nakamwambia nishakusamehe ila mapenz mim nawew hakuna tena, nimekupigia simu hii baada ya mama yako kuniambia hutaki kuolewa eti unanisubiri mimi, nikamweleza mim nimeshaoa tayari na haiji kutokea ukaishi namimi tena, akajiliza liza pale akasema haamin hadi aone picha za harus labda ataamini, nikafanya mchakato wa hizo picha baada ya siku 2 nikamtumia.

Akasema ananipenda sana, na hana jinsi tu lakin yupo tayari awe mke wa pili au haya mchepuko kwangu kuliko kuolewa na mwanaume mwingine, nikamuona hanazo kabisa, nikaachana naye, nikamwambia mama yake nishafanya alichoniomba kufanya so naamin binti yake sas ataishi kwa amani alinishukuru sana. Nikamwambia fresh, akataka kunilipa nikamwambia aachane na hilo wazo la kipuuzi.

Maisha yakaendelea, nikasahau kabisa habari za yule binti ila alikuwa haishi kunitumia tumia msg, miaka takriban miwili ikapita nikapata mchongo fulan hivi kwenda Sweden kwa miezi minne, hiyo ilikuwa mwaka jana sasa mwezi wa 3, mwezi wa saba nikarud kuendelea na majukum yangu km kawaida. Nikawa naishi maisha yangu, fresh tu. No dem wala nin hapo.

Sasa nikasema nilete mrejesho mwaka jana hiyo baada ya kuona mambo yametulia tu fresh, nikaona sio poa kuwa kimya huku JF.. nilipanga kesho yake nianze kuandika sasa, usiku ule nikapokea simu, ni ya mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni wa mume wa yule binti...

ITAENDELEA...
Hongera sana kwa msimamo mwamba, pia kwa kukubali kupokea ushauri wa jamaa yako. Kisasi kinalipwa kama kawa ila still umeweza kuMaintain utu wako kiubinadamu u did well

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu wananiita mimi katili lakin wanasahau ukatili niliifanyiwa na huyu binti, mazee huyu binti nimewahi kumpa million 1 na laki 2 kwaajili ya kumsaidia kweny msala fulan, nikiona itafaa nitaujumuisha huko mbele. Nilimpenda na kumpa good life la viwango vya juu. Acheni nyie
Kanuni za uchumba salama
Nitaweka moja;

.

9. Epuka kumhonga mchumba vitu vya thamani kubwa, kumsomesha nk.
Usiwekeze Sana kwa mchumba. Lakini Kama unadhani uchumba ukivunjika hutaumia mpe ila Kama unaona uchumba ukivunjika utaumia usimpe.

Simaanishi wachumba wasisaidiane, kuna viwango vya kusaidiana wachumba. Mengine hayo ukitaka kuyafanya weka ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom