Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Jamaa kajitahidi kulipiza kisasi..ila gharama ambayo ataishi.nayo ni kukosa amani ..maana pamoja anajiliwaza karevenge..ila nafsi haiwezi mtulia kabisaaa..na mbaya zaidi kumpata mwenzi wa maisha itakuwa mtihani sanaaa...!
Hayo mawazo yako,maisha lazima yasonge mbele
 
TUENDELEE..

Mazungumzo na yule binti yakaanza huku tunakula, akasema amesikia kilichompata rafiki yake, cha ajabu huyu binti hakuonesha kusikitika bali alinipongeza kwa maamuzi yale ya kiume, na akasema anapenda mwanaume mwenye misimamo km mimi. Akanieleza jinsi alivyokuwa ananisaliti na yeye akawa anajaribu kumshauri sana kuhusu ile tabia mbaya lakin haikusaidia. Nayeye nikamuona ana mambo ya kipuuzi puuzi, km alikuwa anajua yote hayo kwanin hakuinterven kipindi kile kile, nikajua ni mbongo km walivyo wabongo wengine tu. Muda ukawa unaenda huku tukipiga story mara giza likaingia.

Nikamwambia aingie kweny gari nimpeleke kwake anakoishi akaanza mapozi yake ya kingese, mara ooh amefanya usafi amechoka, so anaomba apumzike kidogo pale kwangu, sijui nyumba kubwa km ile why aniache peke yangu, mara sijui nina mawazo meng so aniliwaze tupige story then ataenda, nilishajua anataka nin but nikawa namuona km ndezi tu maana sinaga muda na kufanya mapenz na mwanamke nisiye na mpango naye. Nikamwambia poa abaki muda wa kuondoka ukifika atasema, akaenda jikoni akawa yupo buzy na vyombo huko na usafi wa jiko. Mara saa 3 usiku hii hapa, binti yupo tu. Nikamshtua kuondoka akasema muda umeenda sana na pale kwao kuna geti na rafiki yake anayemfunguliaga geti hayupo akaomba abaki hadi kesho, nikamwambia fresh tu.

Nyumba yangu ni kubwa tu, nikampeleka chumba kingine akalale huko, namimi nikawasha gari kwenda kuangalia mechi ya Liver usiku ule, akaomba namba yangu kwamba usiku ikitokea shida iwe rahis kunishtua, nikaona sio shida. Nikiwa mpiran akawa ananitext msg za kijinga jinga, mara baridi mara sijui anaogopa na upuuzi mwing mwingi, mechi ilivyoisha nikarud nikampigia aje kinifungulia geti, akaja yupo na khanga moja akanikumbatia eti alinimiss, toto la kimbulu lile mashallah kweli kweli, tako km lina spring hivi, linanesa nesa ndani ya khanga, chuchu konzi, guu la haja, nikasema hapa pagumu leo, ila nikazimilia kwamba sitafuni huyu binti.

Tukaingia ndan, nikamuwish usiku mwema nikaingia chumban kwang, nikaoga then nikajipumzisha, haikupita muda bint akagonga mlango wangu, nikamfungulia, akaingia room kwang na akaniomba nimruhusu alale mule ndan kwangu maana kule anaogopa usiku ule na hawezi kupata usingizi, nikaona mtego huu ila lazima nikomae hata kifo nisimtafune Yule mtoto, maana nikimla itakuw kosa kubwa lazima afanye juu chini ijulikane then rafiki yake akijua atapata cha kusema kwamba nimemkazia kwa ajili ya yule rafiki yake.

Naapa kabisa kwa miungu yote yule binti sikumla siku ile, alilala ghetton kwang lakin lile jaribu nililishinda. Asubuh akaniandalia chai akasepa, akiwa njian akaniandikia text kwamba hajawahi kukutana na mwanaume wala kuwaza km kuna mwanaume mwenye msimamo km mim Dunian, akachanika wazi kwamba amenielewa, anaomba tufanye maisha, nikamuuliza vp kuhusu rafiki yake akijua, akadai rafiki yake sio ndugu, so tunaweza kuwa wapenz, nikaona ni upuuzi nikamwambia aachane na hiyo idea maana haiwezekani.

Akawa msumbufu, bahati nzuri muda wa mapunziko ukaisha nikarudi kazin, kwa kuwa Tanga nilikuwa tayari nimekamilisha mission iliyonipeleka sasa nikahamia morogoro kuendelea na mission ya majukumu yangu.

Nikiwa morogoro nikapata simu kutoka kwa mama wa yule binti....


ITAENDELEA...

Mrejesho: Sehemu ya tano
Huu ni zaidi ya ujinga tu,Hivi binadamu gani asiyeweza kusamehe hata hizo ibada zako unafanyaje?

Kakika sisi wanadamu ni dhaifu,Kama alitereza na akasema hatorudia baasi ungemsamehe coz tayari ashakuoa wewe mtu wa msimamo ...!
 
Instincts zangu zinaniambia jamaa anamaanisha na kuna mtu limemkuta jambo.

Kama ni chai, basi jamaa ni yuko level za Sydney Sheldon na John Grisham kwenye utunzi!
Mimi naamini kwa sehemu ila huko kung'ang'ana kwa bibie ni kama kumetiwa chumvi. Halafu mtu aliyepambana namna hiyo anaambiwa mtu wako unayempenda kapata ajali amepelekwa India anakubali kirahisi tu na kuondoka? Haiingii akilini....hata hao wazazi jinsi walivyopambana kurejesha penzi naona kama haina uhalisia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
1. Umalaya nao ni kasoro?
2. Kuliwa TIGO nayo ni kasoro?

Kwahiyo malaya kwenye ndoa zao wavumiliwe kwasababu wanakasoro?

#YNWA
Huwa wanachukuloa easy sana

Demu ambae yuko tayari kuliwa tigo unadhani anafaa kuwa mke

Badala ya kumsifu jamaa kujiepusha na mabalaa eti wanamnanga.
 
Halafu wanaume mnachekesha sana....eti mtu kutokuwa na mpango wa kando anachukulia ni kitu kikuubwa, anajiona mkamilifu au kama anamfanyia favour mwanamke wake. Yaani anatamani ukoo mzima wa mwanamke umshukuru, wamtungie na nyimbo za kumsifu kwa kuwa hana mchepuko. Unapokuwa kwenye mahusiano kuwa mwaminifu ni wajibu sio hisani nyie mbwa (sijatukana, kwenye kikao chetu tulishakubaliana kuwa wanaume wote ni mbwa)

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Halafu wanaume mnachekesha sana....eti mtu kutokuwa na mpango wa kando anachukulia ni kitu kikuubwa, anajiona mkamilifu au kama anamfanyia favour mwanamke wake. Yaani anatamani ukoo mzima wa mwanamke umshukuru, wamtungie na nyimbo za kumsifu kwa kuwa hana mchepuko. Unapokuwa kwenye mahusiano kuwa mwaminifu ni wajibu sio hisani nyie mbwa (sijatukana, kwenye kikao chetu tulishakubaliana kuwa wanaume wote ni mbwa)

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naona tatizo lipo hapa.
Mkuu wangu siku nyingine jitahidi kufwata hii kanuni

9. Epuka kumhonga mchumba vitu vya thamani kubwa, kumsomesha nk.
Usiwekeze Sana kwa mchumba. Lakini Kama unadhani uchumba ukivunjika hutaumia mpe ila Kama unaona uchumba ukivunjika utaumia usimpe.

Simaanishi wachumba wasisaidiane, kuna viwango vya kusaidiana wachumba. Mengine hayo ukitaka kuyafanya weka ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya hivyo si ndio anaenda hongwa zaidi na hilo tundu lake la pili litakuwa kama la bella bellz
 
Mmmmmh mmmmmh mhhhhhhh
Aisee we jamaa nimekunyoshea mikono aisee
Yaani Kuna mtu alikua anajiita jiwe lakini nimegundua alikua mkate tu

Yaani wewe na ndugu Iblis bin shetan mnafanana viburi aisee yaani unakomaa na msimamo kiasi kwamba huogopi Jehanamu na kuona Kama ninkitisho mbuzi tu
Anyway huo ni mfano tu

Huo ndio maana halisi ya uanaume Sasa daaaaa!
Kuna mtu alikua anajiita jiwe lakini nimegundua alikua mkate tu

MzilanKENDE
 
Safi sana Mkuu KOROE wewe upo kama 100% ila mimi nimekuzidi kidogo. Mimi ningeshusha na kipigo ili kuweka alama ambayo ataikumbuka milele ningekata hata sikio moja ili kila akijiangalia kwa kioo akumbuke! Ulitakiwa umalize na kipigo cha Mbwa Koko
Utalala ndani we mzee sio kila sehemh unapiga

Kapigane na akina selemani kidunda
 
Back
Top Bottom