Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Nikawaza nimuite Yule binti ambaye ni rafiki yake aje, twende kwenye maduka ya nguo za harusi tukodi nguo ili tupigie picha alafu tuzitume hizo picha azidi kuonja joto la jiwe, nikiwa katikati ya mawazo hayo nikaona nimshirikishe yule mshkaji wangu hili wazo, jamaa alinisihi sana nisifanye hivyo akasema ninakoenda huko naenda kumpoka shetan majukumu yake namim ndo nitakalia kiti cha shetan sasa, maana shetan mwenyewe hayupo km mim endapo nitafkia huko.
Umpoke mara ngapi Mkuu 🤣🤣🤣
Kwa hiki kisasi hata shetani atakuwa alipigwa na butwaa
 
Back
Top Bottom