kuna siku tbc na itv walirusha kipindi wakionesha waziri yle aliye owa miss tz akisema atahakikisha wameondoka du kumbe ilikuwa dili ndio wameongezeka sasa sio dar tu hata kwenye madini machimbo madogo ya dhahabu vijijini wako kibao....
nakushauri kama unataka kuajiri mtu wa nje ya nchi ...... sio tabu pesa yako tu nenda immigration utapatiwa kila kitu cha mtu kuwa raia
hawa wachina ni kama kipindupindu au minyoo ikiingia nchi ya watu wachafu.Hata katika sheria kali huwa ni vigumu kuwaondoa, na wana backup ya serikali babe ya Uchina.Sasa kama kuna rushwa na kujipendekeza basi imeshakuwa mbaya sana.Hawa jamaa watajijenga sana na watafikiwa mahali ,hata wale waovu kabisa watakuwa na umuhimu kwa serikali ya uchina.Wakifikia hapo mamabo yatakuwa very complicated kwani watakuwa hawagusiki na serikaliya uchina haitarudi nyuma,kusukumiza masalahi yao mbele,wafilipino na malaysia, wanalia sasa hivi.China anawatishia waziwazi pamoja na umbalia waliopo.Loopholes zikiwa ni jamii tajiri za kichina kuzidi lipa nguvu taifa lao.
Thanx very much, binafsi mimi naishi nao naona kama hawa waasia wamekuwa juu sana ktk hili. La ajabu kila mmoja ana polisi wake wa kumwita mara wanapogombana. Ukipita pale Golden Plaza utaona uchungu sana. Wao wamo ndani waafrika wamekaa NJE marangoni.
Vivyo hivyo maduka mengi tu. Ukienda ktk baadhi ya ofisi za serikali utawakuta wameanza nako. Lakini hawataki jeshi, polisi, ualimu vijijini au udaktari vijijini.
Nenda migahawa ya kichina, kule utawakuta hata sex servants wa kichina-Mgahawa Tangren (kule iliko nyumba ya rais maeneo ya moroko kuelekea victoria na kawe. Nadhani mtaa unaitwa UNUNIO au..Uuu, sikumbuki vizuri)
wenzetu wanaakili wanajuwa wanafanya nini na wanamalengo kitaifa sio sisi hata huwezi amini kama viongozi wetu huwa wana mikutano yaani baraza la mawaziri nafikiri linaendeshwa kama tunavyoona bunge linavyokuwa cha maana hakina mwisho utasikia waziri mkuu atakuja na jibu kikao kijacho oooo ndio imetoka hio.
angalia wakuu wa mikoa wanafanya nini cha maendeleo kwenye maeneo yao kilimo kiko tofauti ar na shinyanga lakini tractor ni aina moja
hebu angalia zile pik pik ambulance zipo mahosipal hazifanyi kazi
Please elekeza vizuri hayo maeneo, ninaapa sijawahi jaribu hio kitu yenye rangi tofauti, halafu forena, inaweza kuwa njia mojawapo kulipa huu unyonyaji na ubaguzi, nahitaji kuwa-service hawa binti wa kichina, please saidia
Moja kati ya sababu baadhi ya wafanya biashara kuajiri watu wa nje ni uaminifu, lazima tukubali ukweli kwasababu tuyaona kila mahali katika mahoteli, wafanyabiashara wanajua ukweli wa maisha ila nao wanataka kufanya faida.
Tatizo ni serikali kutotengeneza ajira hata zile zilizokuwepo iliamua kuuza viwanda karibu vyote.Wachina hatuwawezi kwa sasa wao wanaendesha serikali za NCHI ZA Afiza sasa.