REVEALED! YOU CAN ROB A BANK (legally)

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Vipo vipato vingine ni vigumu sana kuelezeka vikaeleweka kwa akiri ya kawaida isiyotaka kujisumbua kutafiti zaidi, matokeo yake huishia kusema kuwa JAMAA KAKWAPUA BENKI! au akikustahi sana utaitwa FISADI ama KAFISADI katoto akienda mbali zaidi utaitwa EPA ama Freemasons, na majina mengine kama hayo.

Lakini si kweli kuwa kila anayefanikiwa katika karne hii tuliyonayo kakwapua mahali (japo wapo wakwapuaji), bali KARNE HII YA SAYANSI NA TEKNOLOGIA imeleta FURSA ambazo Karne iliyoisha ya Viwanda hazikuwepo, wengi wanaofanikiwa sasa wamegundua na kuamua kutumia kwa usahihi FURSA zilizoletwa na INFORMATION AGE au ICT ERA kujiingizia kipato kisicho na kikomo wala mipaka wala muda.

Ikiwa wapenda kujua FURSA HIZI ama wapenda kujua namna ya KUKWAPUA BENKI (kihalali) na kupongezwa kwa hilo, wakati ndio huu, kutakuwa na Semina kuuubwa katika ukumbi wa AICC mkoani Arusha siku ya tarehe 9/7/2011 au bofya hapa chini kwa taarifa zaidi.

CLICK FOR MORE INFO
 
I wish maisha yangekuwa rahisi hivyo.
Mimi nakupa tenda hebu kaibe uniletee, nitakupa 50% ya mapato yote.
 
Wacha uzushi wewe,
ingekua ni rahisi namna hiyo basi hata username yako ingegeuka kua ''current millionaire''
 
Wacha uzushi wewe,
ingekua ni rahisi namna hiyo basi hata username yako ingegeuka kua ''current millionaire''

Uzushi upi tena? This is just a tip, its upon you to try it or leave it, weye ndo nahodha wa maisha yako kaka.
 
I wish maisha yangekuwa rahisi hivyo.
Mimi nakupa tenda hebu kaibe uniletee, nitakupa 50% ya mapato yote.

Huitaji kunipa tenda yoyote, nilishafanya maamuzi ndani ya miaka miwili nitakuwa vile nataka niwe, naomba Mwenyezi atuweke nawe utakuwa shuhuda pale yatakapotimia.

G day.
 
Back
Top Bottom