Revealed: Watoto wa 'vigogo' waliotimuliwa TANROADS, Majina haya hapa...!

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,973
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.

Baadhi ya majina ya Weighbridge Operators waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.

Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini ambao wana meet vigezo vya kielimu katika post walizokuwa wameajiriwa.
 
Mbona majina ya vigogo hamna hapa? Mi nlifikiri kama yale ya BOT. Anyway, may be ni wa vimemo tu, but sio kigogo kivile!!
 
Unajua nchi hii kila kitu tunapenda kuendesha kisiasa,ndiyo maana kuna wakati mimi huwa nafikiria ni lini viongozi wetu watabadirika na kuendana na hali halisi bila kuweka chumvi kati utendaji kazi wao.
 
Hata mie baadhi yao nawafahamu hakuna mtoto wa kigogo hata mmoja.
wadau kwani vigogo ni akina nani (yaani ili mtu awe kigogo anapaswa kuwa na nafasi gani katika jamii au siasa)? kujibu swali hili itatusaidia kujua kama hawa ni watoto wa vigogo. Hebu aliyeanzisha uzi huu atuweke sawa kuhusu hili!
 
kumbe hata mimi marytina nyangasi ni mtoto wa kigogo..

kwa nini magufuli asiwawajibishe wale waliowapa hizo ajira?
 
Mkuu Mwita
Na hawa waliofukuzwa pamoja na kuwa si watoto wa vigogo kuna sababu gani zilizochangia kufukuzwa kwao?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.

Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.

Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.

Wapi wazee wa dip analysis wao wengi si wachache
 
wadau kwani vigogo ni akina nani (yaani ili mtu awe kigogo anapaswa kuwa na nafasi gani katika jamii au siasa)? kujibu swali hili itatusaidia kujua kama hawa ni watoto wa vigogo. Hebu aliyeanzisha uzi huu atuweke sawa kuhusu hili!

una ubongo finyu sana ndio maana huelewi IMPLIED CONDITIONS TO ONE NAME MTU KIGOGO.

Yawezekana upo njee ya Tanzania kwa muda mrefu ila kama upo bongo basi wewe ni sub-stratum yaan ungesoma shule zetu za kata hata kwa miaka 20 usingeweza kuikwepa div zero
 
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.

Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.

Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.

Wamefukuzwa kwa sababu gani?
 
Mkuu Mwita
Na hawa waliofukuzwa pamoja na kuwa si watoto wa vigogo kuna sababu gani zilizochangia kufukuzwa kwao?

Chama
Gongo la mboto DSM

Nimeambiwa wamefukuzwa on disciplinary grounds.
Nafuatilia kujua exactly ni makosa gani yaliyopelekea kufukuzwa kwao.
 
una ubongo finyu sana ndio maana huelewi IMPLIED CONDITIONS TO ONE NAME MTU KIGOGO.

Yawezekana upo njee ya Tanzania kwa muda mrefu ila kama upo bongo basi wewe ni sub-stratum yaan ungesoma shule zetu za kata hata kwa miaka 20 usingeweza kuikwepa div zero
kigogo is obviously relative kama na wewe binti wa kileo huelewi hilo basi kuna shida. By the way kwa nini kama great thinker usijibu kwa hoja. Swali ni kwamba kigogo ni nani! wadau hapa wamedai kuwa hakuna mtoto wa kigogo hata mmoja kwenye hiyo list. aliyeleta uzi atuambie ni nini kinachowafanya hao wawe watoto wa vogogo. No offence lakini majibu yako hayasaidii kumuelewesha mwenye nia ya dhati ya kuelewa. tina acha hizo uwe muungwana hapa jamvini!
 
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.

Baadhi ya majina ya waliofukuzwa kazi ofisi ya Tanroads mkoa wa Pwani niliyopenyezewa ni haya hapa:
1. Bashiry Saidi: Elimu yake FTC (DIT)
2. Leonard Luther: Elimu yake FTC (Arusha Technical College)
3. Pendo Kibunje: Elimu yake Diploma (NIT)
4. Lusubilo: Elimu yake Diploma (NIT)
5. Ndibaza: Elimu yake haikupatikana mara moja.

Waziri Magufuli alidai kwamba wengi wa hao watoto wa vigogo hawana sifa za kielimu. Lakini kinyume chake wamewafukuza kazi watoto wa masikini.
Huyo Ndibaza namfahamu yupo Mizani Kibaha tangu 2004 ila shule hamna kabisa. Inasemekana alikuwa anatumia cheti cha mtu.
 
labda magufuli alivosema watoto wa vigogo labda alimaanisha ni watoto wa katibu kata, mkurugenzi wa halmashauri ya huko vijijini pwani au mwenyekiti wa nyumba kumi kumi
 
Kikwete aliagiza wale walio zungushia uzio wa mabati pale jangwani dar es salaam wabomolewe na kufukuza sababu ile ni sehemu ya wazi lakini cha ajabu walibomolewa wananchi wanao ishi maeneo yale. hadi leo ule uzio wa mabati upo. so hata kwa hili sioni ajabu. mia
 
Labda wanaficha majina yao harisi, Magufuli kachemka. Kwanza angesema sifa za kufanya kazi mizani, then angewataja hao waliokosa sifa na sio vigogo tuu. Au ajiulize
Mbona Salma Kikwete hana sifa lakini kapita bila kupingwa?
 
kama ni hivyo basi itakuwa ni mwendelezo wa Ufisadi-kuwafukuza watato wa masikini waajiriwe wa vigogo na hapo hapo jamaa anapata ujiko kwa kutangaza kufukuza watoto wa vigogo Ningeshangaa magufuli amepata wapi uwezo wa kufukuza watoto Wa vigogo wenzake!
 
Back
Top Bottom