Revealed: Wamasai wa Kenya walipanga kumzuia Rais Magufuli asihudhurie sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta

Ndo maana ya kuwa na Intelijensia bora, ndo kazi zao hizo, hata kama hatar ingekuwepo kwa Mama Samia pia asingeenda, angeenda mwingine ambaye hana madhara...hahaaaaaaaa nafurahi sana...haya yapo tuu sana na yanapita, viongoz wanapita, wanakuja wengine, lkn Securty ni jambo la msingi sana.
 
Acheni kutafuta sababu kujustify mkulu kutokwenda Kenya. Amechemsha sana. Hata kama swahiba wake hakupata uongozi basi asisusie nchi nzima. Haendi pale kama yeye bali anaenda pale kama kiongozi wa nchi. Kenya ndio muwekezaji nambari moja hapa kwa Afrika nzima. Ni ndugu zetu and they deserved better treatment.
 
Am sure Kenyatta alimtell kiongozi mwenzie kuwa Masai hawazuiliki so ukija uje na Ng'ombe zao au uje na ulinzi wako... Msela nondo akatuma muwakilishi ambae pia kamuudhi kwenda kumsalimia bwana Matundu
 
Angejiroga aende ndio angeelewa watazuiaje!!!!....wakilala katikati barabara watapita wapi?? Tena na mang'ombe yao kibao wanayaweka barabarani....hakuna kupita!!! N aibu sana kidiplomasia.....
Rais wa.nchi.si wa mchezo.mchezo
Unaanzaje kuzuia V8,inayokimbia km 180/hr?
Ni akili ndogo tu za kikenya zilitaka kuwa applied
 
Kwa mawazo yako unafikiri nchi itaendelea kwa Rais kujifungia ikulu.

mugabe alikuwa anasafirikila kukicha je nchi iliendelea,

mugabe in china
Mugabe-in-China.jpg

mugabe in russia
mugabe-and-russian-deal-710x400.jpg

U.S.A
603536-zimbabwe.jpg
 
Porojo eti Moran cheap poltcs watu wanafikiri Rais ni Diwani...mleta mada unafikiri ulinzi wa Rais ni sawa na ulinzi wa Diwani nini?au unadumisha fikra za yule mgombea kwamba zidumu fkra za mgombea..ambae ni rafiki wa Uhuru adi alienda kumpgia kampeni ....kwa hiyo lowasa kuwa karibu na uhuru sawa ila ...JPM kua karibu na Raila si sawa?hivi unajua urafk wa Raila na Magufuli si wa kimaslahi bnafsi wala kisiasa ila ni wa tangu JPM akiwa waziri tofauti na Urafki wa Lowasa na Uhuru ambao ni wa kisiasa?hivi unajua madhara ya Rais kubughudhiwa kwenye nchi nyingne kwa nchi mwenyeji...for your info hao moran ata wangechukua na wakikuyu hawana cha kufanya
 
Hujui faida ya mikutano ya head of states kwanza kuna bilateral meetings pili ni kujenga ujirani mwema, pamoja na odds tulizokuwa nazo na Kenya kitendo cha yeye kama yeye kwenda kingefuta mengi sana, kwa vile nyie mna akili za kubisha hata hili mtapinga.
Wewe ni mpuuzi, hizo Odds za kutengeneza unafikiri nani anazijua? Jikiteni kutafuta hoja za kusjindana na Serikali ya JPM, hizo blaa blaanapoteza muda bure
 
Porojo eti Moran cheap poltcs watu wanafikiri Rais ni Diwani...mleta mada unafikiri ulinzi wa Rais ni sawa na ulinzi wa Diwani nini?au unadumisha fikra za yule mgombea kwamba zidumu fkra za mgombea..ambae ni rafiki wa Uhuru adi alienda kumpgia kampeni ....kwa hiyo lowasa kuwa karibu na uhuru sawa ila ...JPM kua karibu na Raila si sawa?hivi unajua urafk wa Raila na Magufuli si wa kimaslahi bnafsi wala kisiasa ila ni wa tangu JPM akiwa waziri tofauti na Urafki wa Lowasa na Uhuru ambao ni wa kisiasa?hivi unajua madhara ya Rais kubughudhiwa kwenye nchi nyingne kwa nchi mwenyeji...for your info hao moran ata wangechukua na wakikuyu hawana cha kufanya
Hii michadema ina akili ndogo sana, Rais angeenda Kenya kwa daladala mpaka hao wamasai wamzuie?
 
Sio story ni kweli, Magu hata angeingia tu Kasarani angezomewa kama vile yeye ndio Odinga. Wafuasi wa Kenyatta wanamchukia sana Magu na wameshalishwa propaganda ya ng'ombe na vifaranga kama rejea yao saivi.
Hizi akili za kuzomea zomea ziko Kinondoni mtaa wa ufipa, Wakenya siyo wa aina hiyo, walishindwa nini kimzomea Makamu wa Rais? Au haujui urais ni taasisi?
 
Mh. Rais ana ndege yake maalum, au Moran walitaka kuruka juu wakiona ndege inafika Namanga kwa juu ili waifikie? Maana Mh. Rais ana ndege zake na viongozi wote wa juu, sasa hao Moran sijui akili za wapi hizi..
haha wangerusha mikuki yao
 
Wewe ni mpuuzi, hizo Odds za kutengeneza unafikiri nani anazijua? Jikiteni kutafuta hoja za kusjindana na Serikali ya JPM, hizo blaa blaanapoteza muda bure
Unajua maana ya 'odd' lakini?
 
Kajiado police manned Namanga on Tuesday after reports that Maasai Morans would block Tanzanian leader John Magufuli from attending Uhuru Kenyatta’s inauguration.

Central police commander Eric Nteere confirmed in the morning that he had sent a "number of officers and vehicles" to the border town for checks.

“It is true. Our intelligence on the ground leaked information that a number of Morans intended to block Magufuli’s motorcade from accessing Nairobi.

"I have done everything necessary...I have deployed enough security agents,” Nteere on phone from Kajiado.

The Tanzanian President is among at least 20 heads of state or senior ministers who will attend the Kasarani stadium ceremony from 10am.

Organisers are expecting about 60,000 people to fill the venue and giant screens have been set up outside for those unable to get in.

Deputy President William Ruto will also be sworn-in.

Magufuli 'escapes' Morans in Namanga toattend Uhuru inauguration
Haya ni maneno ya kutunga tena ya wazi wazi.
 
Back
Top Bottom