Revealed: Wamasai wa Kenya walipanga kumzuia Rais Magufuli asihudhurie sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta

Mkuu hakuna mtu anaweza zuia msafara wa Rais , Ukiona raisi kasimama sehemu na anasalimiana na Raia jua fika hio haijatokea kwa bahati mbaya huwa inakuwa planned na Eneo hilo atalosimama linafanyiwa Clearance na Mpaka Wajiridhishe na Usalama wake basi ujue mkuu ndio atasimama ivi Cruiser iko 180km/h unaizuiaje mzee?
Una declare kuwa rais huwa analeta ndivyo sivyo kusema kasimamishwa
 
hakika BAVICHA ni wakubadilisha na kiroba cha unga....hivi kweli mnaamini hili swala laweza tokea?
Mbona limeshatokea sehemu nyingi hujasikia wananchi wa Chalinze na Tegeta wazuia msafara wa Rais au huwa ni maigizo yaliyopangwa.
 
Mkuu hakuna mtu anaweza zuia msafara wa Rais , Ukiona raisi kasimama sehemu na anasalimiana na Raia jua fika hio haijatokea kwa bahati mbaya huwa inakuwa planned na Eneo hilo atalosimama linafanyiwa Clearance na Mpaka Wajiridhishe na Usalama wake basi ujue mkuu ndio atasimama ivi Cruiser iko 180km/h unaizuiaje mzee?
Afadhali wewe umekiri kumbe hakuna cha kuzuiwa na wananchi bali huwa ni maigizo ila wamasai walipania kumzuia.
 
Wangejaribu waone,tungewagecha na kuwachemba dadeki.
Wajinga miaka yote walikuwa wakitucheka watanzania wakiita Tanzania ni shamba LA ng'ombe za Kenya. Magufuli anachowaonyesha ni kuwa Tanzania si shamba LA ng'ombe kuna watu wanaishi Tanzania wanaitwa watanzania
 
Mungu ibariki Kenya .
uombe pia wakenya wanaojimilikisha mamilioni ya ardhi nzuri roho mbaya iwatoke wawape ndugu zao Masai wa Kenya wawe na malisho mazuri ya ng'ombe zao Ndani ya nchi yao ya Kenya badala ya kuacha wanahangaika kwenda kuchunga nchi za nje Kama wakimbizi.Serikali ya Kenya matatizo yake ya ardhi wasiyasukumie Tanzania. Walidai Uhuru wamiliki ardhi wawape Masai haki yao wawape ardhi yenye rutuba wachunge mifugo yao Kenya.Huwezi hamisha tatizo LA ardhi LA nchini kwako unamdukumia nchi Jirani huko ni kutangaza vita wazi wazi.Kila nchi ipambane na hali yake.Wanasiasa wa Kenya tafutieni Masai wa kajiado ardhi nzuri kwa mifugo yao Ndani ya Kenya.Ufumbuzi wa tatizo LA ardhi LA wakenya anayewajibika ni Kenyatta sio Magufuli.
 
kwanini hawakumzuia suluhu, hizi ni porojo tu za wakenya wapuuzi wakichagizwa na akili finyu ya wahuni
 
Kajiado police manned Namanga on Tuesday after reports that Maasai Morans would block Tanzanian leader John Magufuli from attending Uhuru Kenyatta’s inauguration.

Central police commander Eric Nteere confirmed in the morning that he had sent a "number of officers and vehicles" to the border town for checks.

“It is true. Our intelligence on the ground leaked information that a number of Morans intended to block Magufuli’s motorcade from accessing Nairobi.

"I have done everything necessary...I have deployed enough security agents,” Nteere on phone from Kajiado.

The Tanzanian President is among at least 20 heads of state or senior ministers who will attend the Kasarani stadium ceremony from 10am.

Organisers are expecting about 60,000 people to fill the venue and giant screens have been set up outside for those unable to get in.

Deputy President William Ruto will also be sworn-in.

Magufuli 'escapes' Morans in Namanga toattend Uhuru inauguration

Labda wangeweka ngo'mbe barabarani maku zao
 
Unapojadili Jambo hujifungi kwa hoja moja lazima upanue wigo, ujadili faida na hasara ya kuhudhuria au kutohudhuria sherehe.

Kweli kuna watu huwa wanajadiliana namna hiyo. Namna hiyo ya mijadala katika taaluma ya mijadala huitwa 'nonsense'. Sina neno zuri la kiswahili katika taaluma hii kuelezea nonsense
 
Kwa security yake ya sasa wangejaribuangewatundulisu buuure wala wasisubutu kama wanaweza wamloge tu
 
Back
Top Bottom