Revealed: Tanzanian Thieves have Sh315bn in Swiss Banks! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Revealed: Tanzanian Thieves have Sh315bn in Swiss Banks!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Jun 23, 2012.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Some corrupt Tanzanians, including prominent business tycoons and some top government officials, have secretly stashed away a whopping Sh315.5 billion ($196.87 million) in Swiss banks, The Guardian has learnt.

  The amount is a quarter of the amount Kenya's tycoons and politicians have secretly stashed away in Swiss banks.

  According to a report released by the Swiss central bank, Swiss National Bank, early this week Tanzania is among eleven African countries whose nationals have secretly stashed away millions of dollars in the country's banks.

  This is the first time the Swiss central bank has released financial details on various culprits who have stolen billions of dollars from Africa - an indication that gone are the days when African thieves enjoyed strong protection of their looted billions by Swiss banks and authorities.

  The report further shows that Kenya is the leading offender in East Africa in terms of the amount of money that has been stashed away in Swiss banks. According to the report, a staggering Ksh72 (Tsh1.296 trillion) is in the country's banks.

  The report shows further that other countries whose nationals have stashed stolen wealth in Switzerland, in billions of Swiss francs, include Uganda (154m), Egypt (798m), South Africa (795m) and Seychelles (2.515bn), Zimbabwe (96m), Senegal (150m), Rwanda (29m), Sierra Leone (29m), Somalia (1m) and Sudan (179m).

  One Swiss franc is equivalent to Sh1,900, according to current exchange rates in the domestic financial market.

  "The total overseas funds in Switzerland's banking system stood at 1.53 trillion Swiss francs," the report adds.

  For the past one decade global pressure has been mounting on Switzerland to ask its banks to share information about their clients with foreign governments.

  Reacting to the report by the Swiss central bank yesterday, director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Dr Edward Hosea (pictured) said, " We are going to write to the Swiss authorities on Monday (next week) to demand a copy of the report."

  "We want to know the names of those who have secretly stashed billions of shillings in Swiss banks…we promise to recover the stolen billions once we have the list," the PCCB chief told The Guardian over the phone.

  The anti-graft czar further said, "People should stop laundering money to Swiss banks because they are no longer a safe haven as they used to be in the past.

  Things have changed so much that in today's world, no matter how long it might take, in the end all the culprits would be known and arrested."

  Early this week Dr Hosea, who is also chairman of the African Union's Advisory Board on Anti-corruption (AU-ABC), expressed dismay over the continuing ‘rampant corruption' in the continent, blaming some leaders for abusing their offices and condoning the malpractice.

  Dr Hoseah made the remarks in Arusha when addressing the board's members who are preparing its annual report to be presented to the AU summit scheduled to take place in Addis Ababa, Ethiopia, next month.

  He said Africa has been losing billions of dollars annually through corruption, adding: "On a yearly basis Africa loses more than USD148 billion due to the practice, and the perpetrators of corruption are taking the money from the continent to banks based in the developed world."

  Citing an African Development Bank's (AfDB) recent report, Dr Hosea said: "It is estimated that 50 percent of tax revenues and USD30 billion in aid for Africa ended up in corruption. Today the scenario has not changed, as some African leaders have become thieves in government offices while petty corruption continues to ravage the continent."

  Between 2001 and 2008 Tanzania lost an estimated $1 billion (Sh1.6 trillion) due to corrupt deals masterminded jointly between corrupt tycoons and some top government officials. Among the scandals that cost the nation dearly were the Bank of Tanzania's Twin Towers project, looting of the External Payments Arrears (EPA) account, Meremeta gold scandal, Deep Green Finance Ltd, British Aerospace Engineering (BAE) Systems and the controversial radar deal.

   
 2. w

  wikolo JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa mtindo huu vita ya ufisadi kweli ni ngumu mno! Mashaka yangu ni kama kweli PCCB wanaweza kuwakamata wahusika kama anavyosema mh. Hosea.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hizo zipo njiani kurudishwa. Wala usiwe na shaka na kazi zimeshaanza kufanywa kupitia sheria za Umoja wa Mataifa.
   
 4. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Zomba(e) sijui una matatizo gani!, PCCB wenyewe hawajapata hata copy ya majina ya watu walioziweka huko, na hii ndio taasisi yenye nafuu kwa ufuatiliaji Tz, sasa kazi imeanza kufanywa na nani?, Sio ukiwa ccm lazima upoze kila jambo, mengine yaache tu yachemke! Asitie shaka kwanini wakati bado sanaa ya haya yafuatayo hajaisahau?

  Zile za radar zilienda wapi ziliporudishwa?, zile za EPA je?, si ziliwekwa TIB halafu ukurugenzi wa TIB akapewa mmojawapo wa watu waliozirudisha?, Unadhani sanaa hatuijui ee!
   
 5. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Hiyo pesa ikirudi Tanzania ielekezwe moja kwa moja kwenye vipaumbele vifuatavyo :
  a) Kuongeza mishahara ya madaktari na walimu.
  b) kuboresha shule na hospitali za serikali (Umma).

  Chenji kidogo itakayobaki wampeleke Komba India akafanyiwe Gastric bypass surgery...hili ni wazo binafsi tu.
   
 6. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nikweli mkuu si mbali tutawajua majambazi wetu.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,310
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Zikirudi muda wa uchaguzi utakuwa tayari watazi EPA na kupeleka kwenye uchaguzi na masuala ya 'usalama wa taifa"
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naona huwa hufatilii habari za yanayojiri zaidi ya humu JF. Pitia kidogo hizi habari za zamani ujionee kinachoongelewa:

  http://www.corruptiontracker.or.tz/dev/index.php?option=com_content&view=article&id=121%3Atanzanias-top-politicians-linked-to-money-laundering-deals&catid=18%3Acurrent-issues-&Itemid=51&lang=en

  http://touch.dailynews.co.tz/index.php/dailynews/3597-the-war-on-graft-must-go-on
   
 9. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 726
  Trophy Points: 280
  dah ndo maana chenge aliita vijisent..billion 1
   
 10. ismathew

  ismathew JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo mbona inajulikana kama viongozi wa Afrika wanachangia utajiri wa ulaya na kuziacha nchi zao zikiwa ombaomba, bila kujielewa hiyo misaada wanayoenda kuomba na kupewa kama inatokana na pesa zao wenyewe.

  Uwekezaji unaofanywa Asia, Afrika na Amerika ya Kusini, ni mikopo ambayo inatokana na pesa tulizoibiwa kutoka Afrika. Sasa sisi tuwaiteje, wakiitwa Dhaifu. Chuki ndio inayokuja kutawala katika mioyo yao.
   
 11. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yaani kwa kweli Rais wangu hana nguvu. Kwani hawawezi kuuliza mpaka waletewe mezani majina? hata kuchunguza hawawezi?

  Takukuru ipo wapi? Haki ya nani kodi yetu inaenda bure
   
 12. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kurudishwa na kuwashitak wahusika. Au utafanyika mchezo kama wa EPA?
   
 13. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Na hii ni nchi moja tu, bado Cannary Islands hawajatangaza bado.................
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama huu:

  [​IMG]Rajabu Maranda (kulia) na binamu yake Farijala Hussein wakiwa kizimbani.
  [​IMG]…Wakirudishwa gerezani.
  WAFUNGWA wa kesi ya kujipatia fedha kutoka katika akaunti ya madeni ya nje (EPA), Rajabu Maranda na binamu yake Farijala Hussein leo (Jumatatu) walipatwa na pigo jingine baada ya kunyimwa nafasi ya kujitetea katika kesi nyingine inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hiyo ni kufuatia mwenyekiti wa jopo linalosikiliza kesi hiyo kuwa nje ya mkoa kikazi. Kesi hiyo itasikilizwa Julai 19 mpaka 21 mwaka huu itakapopelekwa tena mahakamani hapo.​
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona ni vicenti tuu ivyo bse kuna watu wana trillion!
   
 16. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ili awe kimodo?
  MOI wamegoma kumuandikia barua ya rufaa kwenda India kufanyiwa upasuaji wa kuwekewa nyonga bandia, tiba inayopatikana hapa, na data zikionyesha kuwa zaidi ya wagonjwa 400 wameshatibiwa hapa.
   
 17. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Na hawa jamaa wa nje nao wanatakiwa kushtakiwa haiwezekani wakae na fedha za raia wa nchi maskini kama zetu tena za wizi halafu wajitajirishe then ndo watoe skendo. Faida wanazopata kwa kuwekezwa kwa fedha hizi huko kwao, siye tutafaidikaje nazo?

  Tusikimbilie tu kurudishiwa bali irudi na riba maana nao wanashiriki kutuhujumu pamoja na hawa washenzi wa-kiafrika ambao hawana huruma na nchi hii.

  Tuombe Mungu one day Africa tuwe na sheria ya KUWANYONGA wala-rushwa, haki ya mama ntasoma SHERIA niwe jaji niwatafune wote.
   
 18. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Please read the attachment to see what the hell is Tanzania leading while claiming the Government has no money with poor living standard, poor education infrastructure e.t.c.

  Na huyu mla mizoga wetu PCCB, hii ilikuwa kazi yake anasubiri kuletewa mezani anaanza kubweka next week anaadika baurua kuomba details. What about details za akina Chenge amezifanyia nini????
   

  Attached Files:

 19. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nashangaa wadau hawa comment,
   
 20. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndoto ambazo hata Alinacha hakuwahi kuziota, comment yako imenikumbusha maneno yalopata nguvu enzi za Mwalimu Nyerere kama "kibaraka", nadhani u mmoja wa hao.
   
Loading...