Mkuu Bepari, kwanza kabisa niombe radhi kwa Lugha niliyotumia...haikuwa na staha, am sorry! ila tuna changamoto nyingi sana katika sekta ya Afya hususani kwa wataalam (madaktari). vifo vingi vinachangiwa na negligence ya watabibu na hivyo kufanya Hospital za serikali kuonekana siyo salama tena. Haijaanza leo wala jana, nafikiri tatizo ni la kimfumo zaidi. kwa mtu niliyezoea huduma za first class kutika hospitali za first world, ukinileta kwenye hospital hizi za daktari kwenda kunywa chai anawaacha wagonjwa kwenye foleni....sizani kama nitamudu na haitowezekana..Madaktari vilaza na mbumbumbu? Watch out your word nigga.