Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,983
- 1,009
Wadau wa JF,
Leo usubuhi nimesikia kwenye kipindi cha magazeti cha RFA kuwa Rev Mtikila ameishitaki serikali legelege ya magamba mahakama ya kisutu kwa kuuza jengo la Mahakama yetu ya Rufani kwa hoteli ya kempiski(now hyat regency). Aliyepitia magazeti ya leo atujuze maana lap top yangu naona ngeleja huyooooo anaondoka.