Imani mchongoWhy Natasha&Carmel ...not Carmel&Natasha.. kimaono ya asili mwanaume ndio hujitwalia mwenza, je kwa hao manabii ipoje.. Natasha ndio alimtokea mwenziwe au jamaa aliimbisha..,au ndio tuaminishwe ni roho aliwaongoza towards each other?
napatwa maono ipo shida mahali na inabidi ikabiliwe kwa nguvu ya roho head on, ama sivyo wataachana tu..(naye asiye na mawaa atwae mawe anirushie).
Ni Mchungaji huko Kenya.Hongera sana japo ndiyo namuona leo...Ni mbongo movie?
Wote wamekutana wana pesa chafu, lucy natasha anahelcopter na viwanda vya maji kenya mabrazamen kibao walikuwa wanajazana kwenye kanisa lake sasa sijui walikuwa wanasubiri zari liwadondokee
Halafu mbaya zaid mjomba huyo ni muhindi so mabrazamen full kumnunia pastor wakihindi🤣🤣🤣😀😆😆Mdosi kawazidi kete 😂
Na wamenuna sana tu hasa yule nabii wa bongo mwenye makalio makubwa bilionea SHalafu mbaya zaid mjomba huyo ni muhindi so mabrazamen full kumnunia pastor wakihindi🤣🤣🤣😀😆😆
Mone goes to where .....Wimbo ulio Bora 3 :4
Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi; Nikamshika nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani kwake aliyenizaa.
Pastor Lucy Natasha alinukuu huo wimbo ulio bora mbele ya kusanyiko la wapendwa hivi majuzi kuthibitisha ulimwengu kwamba kampata mpendwa wa nafsi yake.
La kufurahisha zaidi huyo kipenzi wake ni nabii mwenye asili ya India, anaitwa prophet Stanley Carmel, huyo nabii inasemekana ana utajiri wa $1 million hivyo sio nabii mganga njaa kama wale manabii wa "jilipue" wanaotembeza vibakuli kwenye vituko vya mabasi wakitafuta huruma toka kwa abiria.
Binafsi nampongeza sana Rev Lucy Natasha kwa kuachana na maisha bila mume.
Chanzo:
Twitter View attachment 2028067View attachment 2028068View attachment 2028070View attachment 2028071View attachment 2028072View attachment 2028086
She goes to the prophet Stanley Carmel 😍😍Mone goes to where .....
Yule bilionea S ni tapla yuleNa wamenuna sana tu hasa yule nabii wa bongo mwenye makalio makubwa bilionea S
Ila mdosi keshachukua demu
Nabii yeyote anayeitwa bilionea huyo ni mwizi na tapeliYule bilionea S ni tapla yule
Umewaza mbali sana bwashee, ngoja nikupe namba zake umpigie akupe huduma ya maombi maana naona unahitaji ukomboziKwa hiyo kabla pastor alikuwa anacheza mechi za nje au alikuwa anapiga puli mana ni binaadamu huyu ujue,,,,