Rev. Adam Haji Mohammed, Kiongozi wa dini ya Al Hayyat Outreach Ministry

Status
Not open for further replies.
Hii dini inachanganya sana, inatumia vitabu viwili vya BIBLIA NA QURAN kama misingi ya dini hii.



huyu bwana ni mchungaji wa kawaida alikuwa muislam msomali akaokoka sasa hiv ana kanisa Lake. ni mhubir mzuri nimewah kuhudhuria kwenye mikutano yake Nairobi kama mara Tatu hiv. so hatumii Qurani ila coz alikuwa mwl huko anaijua vizuri so kwenye mahubir anapendelea kuongelea huo ushuhuda kwa kusaidia wale waislam wenzake
 
Last edited by a moderator:
Hii dini inachanganya sana, inatumia vitabu viwili vya BIBLIA NA QURAN kama misingi ya dini hii.



Anajua anachokifanya, ukitaka kumvua samaki Papa sharti umfuate kwenye maji ya kina kirefu. Msomali hawezi kuongoka kwa kuhubiriwa Injili nyepesi, lazima aijue tofafauti kati ya hivi vitabu 2.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja na mimi nianzishe Kanisa langu, najua ntawapata tu wafuasi kutoa sadaka.
 
Siyo hiyo dini tu"You cannot read the Quran without referring to the bible.THE QURAN WITHOUT THE BIBLE IS AN EMPTY BOOK.
 
Kila msikiti kuna biblia,na kila sheikh/maalim ana bible anasoma kabla ya kupiga kung fu.
 
kwani si ndivyo inavotakiwa...binadamu unapaswa kuijua torati, zaburi, Injili na kuruani.
 
Yaan mi huwa mnanichanganya tu.., sielewi chochote.., labda na mimi siku nitafumbuliwa..., may be..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom