Reunion of ex-bunge primary school pupils

Mpogoro

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
386
58
Nimesikia kuna habari kuwa Ex-Bunge Pupils wanapenda kufanya Reunion ambayo itafuatiwa na tukio la ku-support shule kwa namna fulani.

Ningependa kujua zaidi kuhusu hilo suala maana nimesikia hiyo kitu inaanzia na batch ya 1996.Kama kuna mtu anajua juu ya hili ningependa kufahamu zaidi.
 
kama itaanza na batch ya 1996 sisi wengine tayari tupo EXCLUDED..!
re-union njema ex-bunge primary pupils.......!L
memory to ISDOR MBELE, MUSA KAJIRU, KHALID MOHAMED, RENATUS NJOHOLE(footballer), ARAFA MKINDI, ARAFA MIRAJI, MUZNE MSHANA, SHABIR ABBAS, MWL. KAJIRU, MWL. GOWELE, MWL. MAKWEGA, late LWAKAREHE, MWL. BEATRICE, MWL. MUGYABUSO, MWL TEDDY.....et al
GUNZE, RAMA MGODO, KALID T.I.D (musician), PIUS IRERI LAZARO (jkt Ruvu player) SANTOS FAIROM, SUNDAY, MWESI KAZAURA, LUJUO JUMA, ZEY IBRAHIM, BANJU, KASIMU CHINO, SOLOMON NASORO MPINGO, LUPI MAYOWERA, DR. ERICK MASANJA, HON. CLEOPHAS WAANE, WILIAM KIMWAGA .......JUST TO MENTION THE FEW....!
 
Nipo Excluded too,Nilikuwa na Charles Makongoro Nyerere 1965-1969 Nikahamia St Salvatorian Convent School...Kijebaaa
 
Hivi mwalimu Lupembe na Mlagili wako wapi??? Bila kumsahau kajiru, Gowele, Beatrice na Kanyambo
Mimi niko excluded pia though wangerudi mpaka mwaka mmoja nyuma ningekua ndani ya nyumba, Mwalimu Kajiru anafundisha Kisutu Primary, Mwalimu Gowele/ My Mom now anafundisha Olyimpio, Beatrice na wengineo sina taarifa zao.
 
kama itaanza na batch ya 1996 sisi wengine tayari tupo EXCLUDED..!
re-union njema ex-bunge primary pupils.......!L
memory to ISDOR MBELE, MUSA KAJIRU, KHALID MOHAMED, RENATUS NJOHOLE(footballer), ARAFA MKINDI, ARAFA MIRAJI, MUZNE MSHANA, SHABIR ABBAS, MWL. KAJIRU, MWL. GOWELE, MWL. MAKWEGA, late LWAKAREHE, MWL. BEATRICE, MWL. MUGYABUSO, MWL TEDDY.....et al
GUNZE, RAMA MGODO, KALID T.I.D (musician), PIUS IRERI LAZARO (jkt Ruvu player) SANTOS FAIROM, SUNDAY, MWESI KAZAURA, LUJUO JUMA, ZEY IBRAHIM, BANJU, KASIMU CHINO, SOLOMON NASORO MPINGO, LUPI MAYOWERA, DR. ERICK MASANJA, HON. CLEOPHAS WAANE, WILIAM KIMWAGA .......JUST TO MENTION THE FEW....!

MKUU NILIKUWA NATINGA SANA DARASANI KWENU, KULIKUWA KUNA WATOTO WAZURI SANA. NAWAKUMBUKA ZEY, ARAFA, NOELA, NAUSIA KAMA SIKOSEI.

AISEE DARASANI KULIKUWA NA MTOTO MMOJA ANAITWA CATHERINE JINA LAKE LA PILI LIMENITOKA ALIKUWA ALIKUWA NA UGONJWA WA KUZIRAI HIVI KUKIWA NA JOTO AU AKISTUKA.

ILA RENA ALIKUWA MBELE YENU NA HUYO musician alikuwa MDOGO SANA KWENU NAHISI MMESOMA NA KAKA YAKE ABOUD, WALIKUWA NA DADA YAO MTATA SANA SIJUI WEUPE NDIYO ULIKUWA UNAMWEKA JUU AU MACHO YANGU TU.
 
Bunge shule yetu pinzani kwenye michezo...

binafsi nilikuwa forodhani primary school class of 2000... ila bunge wa mwaka wangu nawajua wengi sana kutokana na soka....
 
Bunge shule yetu pinzani kwenye michezo...

binafsi nilikuwa forodhani primary school class of 2000... ila bunge wa mwaka wangu nawajua wengi sana kutokana na soka....

Duh!!! 2000 natafuta chuo mdogo wangu. Na hiyo Bunge unayoizungumzia ilikuwa siyo ile Bunge ya enzi zetu. Bunge yetu shule ilikuwa shule kweli lifestyle ilikuwa babu kubwa. Sisi ndiyo tulikuwa kizazi cha mwisho cha Mwl. Masasi.

Baada ya hapo alikuja Mwl. Mkuu mpya akabadili kila kitu. Shule ilikuwa na tamaduni zake, wiki za mwisho wa mwaka ni party kwa kwenda mbele.

Shule ilikuwa ya kishua kwelikweli japokuwa watoto wa walala hoi pia tulikuwemo.
 
Tehe Tehe Tehe.... yule Dada anaitwa CATHERINE GREYSON.....
Niliwahi kukutana naye Sinza na pia nliskia anasali EFATHA.... (MWINGIRA)
 
Dah! Kama hii Re-union imefanyika basi nimeikosa.

Nimesoma Bunge mwaka 1986 - 1992, enzi hizo ilikuwa shule ya kishua Mwl Mkuu Mama Masasi.

E bwana eeeh hii thread sijui nimekutana hayo vipi, wanafunzi niliosoma nao darasa moja mpaka 7A pale Bunge kama ntakumbuka vizuri, Moses Sarakikya, John Mahundi, Joyce Kadianji, Kidonyo Alli, Abubakar Twalib, Arafa Mpili, Halima Mwinyi (sikumbuki kama alimaliza au Mzee wao aliwahamisha), Nyirabu Masero, Herieth Lumbanga, Lyoba Peter (Mwembechai moja those days) Abdul Wadud, Renatus Njohole, Melkizedek Mwananzila ( mshikaji alikuwa anaishi mtaa wa shaban robert, shule na nyumbani ilikuwa pua na mdomo). Wahindi ninaowakumbuka Nitin Chohan, Faisal Khakoo, Wahda, Osman Osman (huyu mshkaji alikuwa mmanga flani hivi mrefu ile mbaya)...list inaweza kuendelea

Memory nzuri sana hizi, it was so cool.

Nakumbuka pia kipindi cha PE tulikuwa tukipiga mechi Simba na Yanga.
tapatalk_1547824351024.jpeg
tapatalk_1547824336937.jpeg
tapatalk_1547824345274.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom