Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

Baba Zion
eeehh
For me mtu ninaye mwona ana fiti katika hiyo nafasi Seba,yupo vizuri kwanza anaijua CMG vizuri sana,kishashika nafasi nyingi CMG,kafanya kazi na Marehemu Ruge kwa ukaribu kwa hiyo hata some strategies ambazo alikuwa akizitumia marehemu ktk uongozi atakuwa anazijua vizuri,nne hana usela yaani ni presentable ,hata akipropose kitu kwa makampuni mbalimbali wanamwelewa.
hata Reuben pia ni zao la Ruge
 
eeehh

hata Reuben pia ni zao la Ruge
Huwezi fananisha Seba na Ncha Kali Seba yupo CMG tokea mwanzo inaanzishwa .Ncha kali wa juzi tu ,hajawahi kushika nafasi yoyote ktk maswala ya utawala CMG.

Hata Mchomvu ,Diva ni wote zao la Ruge,ila tunachoangalia mtu anayeijua CMG kiundani,Seba alianza kuwa mtangazaji,leo yupo ktk maswala ya utawala na mmoja aliyefanya kazi na Marehemu kwa ukaribu zaidi,so anajua njia na ubunifu aliokuwa akiutumia marehemu ktk kuiongoza CMG.
 
Acha kamba mzee,unajua CMG imeanzishwa lini ?
FYI Seba hakuwepo CMG wakati inaanzishwa
Unafahamu kuwa Seba alikuwa mtangazaji wa radio Uhuru enzi hizo akiwa manager wa Gangwe Mob
 
Ok sawa hivi Seba na Ncha Kali nani kafanya kazi kwa kipindi kirefu CMG.
 
Huwezi fananisha Seba na Ncha Kali Seba yupo CMG tokea mwanzo inaanzishwa .Ncha kali wa juzi tu ,hajawahi kushika nafasi yoyote ktk maswala ya utawala CMG.

Hata Mchomvu ,Diva ni wote zao la Ruge,ila tunachoangalia mtu anayeijua CMG kiundani,Seba alianza kuwa mtangazaji,leo yupo ktk maswala ya utawala na mmoja aliyefanya kazi na Marehemu kwa ukaribu zaidi,so anajua njia na ubunifu aliokuwa akiutumia marehemu ktk kuiongoza CMG.
Seba hajakuwepo tangu inaanzishwa CMG bana nakataa
 
hakiangaliwi kipindi kirefu kinachoangaliwa ni nani anadeliver, uyo jamaa mpaka piko kichwani na vitenge huwa simuelewi kiufupi
Sasa kipindi CMG inafanya vizuri,moja ya viongozi waliokuwa bega kwa bega na Marehemu ,alikuwa Seba,kama tukiangalia kudeliver basi Seba ni bora sababu yy alikuwa akimsaidia marehemu kwa ukaribu.
 
ila unafahamu Seba yuko kitengo gani, why hakureplace nafasi ya marehemu, anyway Ruge atabaki kuwa Ruge hata kama Seba alikuwa karibu kiasi gani na marehemu, ila hawezi kufanya kama Ruge, And you know why mpaka sasa Reuben karudi pale
 
Seba ni Manager wa vipindi vyote vya clouds so najua hawezi kufanya kama Ruge sawa,lkn anazijua njia alizokuwa akizitumia marehemu ktk kuifanya CMG, iwe pale ilipo sababu yy alikuwa ni sehemu ya utawala wa CMG.

Kurudi kwa Ncha Kali sio issues,kwani CMG waliondoka wengi akina Gadner,PJ,Masoud Kipanya waliondoka wakarudi.
 
Hicho si cheo cha Shaffih?
 
(Seba ni Manager wa vipindi vyote vya Clouds), Shafii Dauda anakuwa ni nani pale Clouds..?, Mkuu wa Maudhui anakuwa ni nani pale Clouds..?
 
Nashukuru kwa kunikosoa,ila nimeongeza kitu,sasa hivi ni mkuu wa Maudhui wa vipindi vyote CMG,zamani alikuwa program Meneja ,je kwa nyazifa hizi mbili alizozishika huoni ,huyu ana experince kubwa na anaifahamu CMG vizuri,huoni huyu alikuwa yupo karibu na CMG,hivi huoni huyu amejifunza mengi kutoka kwa marehemu kuhusu maswala ya utawala.

Nakuuliza hivi huyo Ncha kali huko alipotoka ,hiyo kampuni aliyokuwa kama meneja,iliachieve nini?,jeje mpaka ana ondoka aliiacha kwenye hali gani hiyo kampuni?.
 
umeenda kwenye compare and contrast sasa, ukizungumzia Archievement Seba amearchieve nini..?, Reuben pia kakaa sana hapo Mawingu kabla ya kwenda SCANAD, anaijua nadani nje mawingu, Archievement za Reuben siwezi kuzijua ila kwa nilioyaona ambayo yalikuwa na baraka zake mimi naona kafanya kazi kubwa coz huko mwanzo sikuyaona
 
Mafanikio ya kamapuni ya CMG haiyahitaji akili nyingi,kwani kila mwaka TCRA wanatoa Radio inayosikilizwa sana ,Clouds zaidi ya miaka kumi wanaongoza wao,ukiwa na wasikilizaji wengi basi hata matangazo utapata kwa wingi na mmoja wa viongozi walioiongoza Clouds ni Seba.Kwenye compare na contrast ndipo tunapata ubora/ufanisi wa mtu au ubora wa kitu na ndio maana kwenye uteuzi wa nafasi yoyote wata compare CV zenu,ili wajue yupi ni mzuri kuliko mwenzake.

Ruben kukaa mawingu kwa mda mrefu sio issue,kwani hata Bdozen,Mchomvu wapo mjengoni kwa mda mrefu.Mtu kama Seba yupo CMG kwa mda mrefu na kukaa kwake kuna kitu kaprove na ndio maana akapewa nafasi za juu za uongozi hapo CMG,je Ruben na kukaa kwake mda mrefu alishika nyazifa gani hapo CMG zaidi ya utangazji?

"Archievement za Reuben siwezi kuzijua"

Kwa hiyo kwa hiyo stsetement yako unamwongelea mtu usiyemjua,ila kwa mahaba na hisia zako unataka wampe nafasi ya uongozi wa juu hapo CMG?

Kijana nafasi kama ya Ruge sio ya majaribio hata kidogo,ukikosea kidogo manake unaiua kampuni,hasa katika kipindi hiki ambacho kuna ushindani mkubwa wa Radio,CLOUDS NI TAASISI KUBWA ANAHITAJIKA,MTU ANAYEIJUA CMG VIZURI SANA ili aendeleze alipo achia marehemu.
 
Ruge atabaki kuwa Ruge "Boss Ruge"

Tu nasubiri walikua wanalalamika kunyonywa je hali ikoje kwao
 
"Archievement za Reuben siwezi kuzijua", sio kila in and out ya mtu lazima iwekwe wazi, hata kama nazifahamu siwezi kuziweka ntakuwa nazianika kwa competitor wa scanad, kuwa na wasikilizaji wengi sio kuwa na matangazo mengi, inategemea na price, rotation, prime time, coverage, segment,

harafu mimi siwezi taka wampe wakati mtu tayari kaishapewa, rudia heading ya uzi
 
Reuben ndo umeamua kuja kujisifia hukuuu. Huko scanad si ukafanya mpaka Kampuni ikataka kupelekwa mahakamani kisa madeni ulivokuwa country manager kwa masaa hadi ukarudishwa cheo chako cha kutengeneza matangazo tu. Hebu wacha sifa zisizo na tija viatu vya Ruge utaweza wewe ndugu yangu????? Mwenzako alikuwa anaongea na kila mtu na anamskiliza kila mtu wewe kacheo tu ulichopewa scanad unawazungushia kiti watu hadi mkapoteza biashara yote kwa kampuni zingine... ukweli ni mwenye uwezo anaonekana ila sio wewe ndugu yangu. endelea kujisifia na wewe ukipewa kiti clouds mwaka tu nakuhakikishia wataondoka wote mmoja mmoja wateja hadi wafanyakazi kama walivooondoka scanad, labda kama umebadilika. Anyway hongera kwa kujisifu mkuuu sio kwamba nakusema ah ah..ila badilika ndugu yana ubrazameen mwingi sanaa huyu jamaa ndo ataiuaaa kabisa clouds, ila ndio vizuri maana anahitajika mtu mwingine tasnia ya redio atawale... natumai EFM na Times wanacheka huko waliko, huuu ndio muda wao eh bwana ehhh kweli Clouds maji ya shingo hadi huyu jamaa bogus bogus kapewa nafasi nyeti ka hiyo...tutaona kama utaweza kuendeleza mawasiliano ya Ruge..yetu macho labda ka ameokoka hehehehehe

Definition ya mtanganyika halisi ni kupitia maneno ya huyu bwana.
 
Back
Top Bottom