Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

hawakosekanagi hao
Tukubali tu kuwa Ruge alikuwa Ruge na Nchakali hawezi kuwa Ruge. Clouds haitopata Ruge mwingine ila itabidi wapate mtu mwingine wa kufanya nae kazi and thats Nchakali ama yoyote yule anaefaa.

Kwa muda kama huu nchakali anaweza kuiinua clouds kutokana na ubunifu wake na experience ya marketing aliyoipata SCANAD kama national director. Ila kuvivaa viatu vya Ruge ni ngumu kutokana na lifestyle yake plus sidhani kama ataweza kuwa na influence kwa serikali ama kuweza tu kuwa flexible kwa industries tofauti kama Ruge..
itabidi ajifunze tu mkuu kuishi na watu vzr, pia serikali
 
Kiwango cha PHD cha roho mbaya aisee

Ungeweka wazi alikosea wapi huko SCANAD ungetisha sana

Matangazo yote ya biashara kwa miaka 7 bado unasema aliishusha?
Tigo,Vodacom,cocacola,pespi,DSTV na mengine mengi bado unasema nini ?
Reuben ndo umeamua kuja kujisifia hukuuu. Huko scanad si ukafanya mpaka Kampuni ikataka kupelekwa mahakamani kisa madeni ulivokuwa country manager kwa masaa hadi ukarudishwa cheo chako cha kutengeneza matangazo tu. Hebu wacha sifa zisizo na tija viatu vya Ruge utaweza wewe ndugu yangu????? Mwenzako alikuwa anaongea na kila mtu na anamskiliza kila mtu wewe kacheo tu ulichopewa scanad unawazungushia kiti watu hadi mkapoteza biashara yote kwa kampuni zingine... ukweli ni mwenye uwezo anaonekana ila sio wewe ndugu yangu. endelea kujisifia na wewe ukipewa kiti clouds mwaka tu nakuhakikishia wataondoka wote mmoja mmoja wateja hadi wafanyakazi kama walivooondoka scanad, labda kama umebadilika. Anyway hongera kwa kujisifu mkuuu sio kwamba nakusema ah ah..ila badilika ndugu yana ubrazameen mwingi sanaa huyu jamaa ndo ataiuaaa kabisa clouds, ila ndio vizuri maana anahitajika mtu mwingine tasnia ya redio atawale... natumai EFM na Times wanacheka huko waliko, huuu ndio muda wao eh bwana ehhh kweli Clouds maji ya shingo hadi huyu jamaa bogus bogus kapewa nafasi nyeti ka hiyo...tutaona kama utaweza kuendeleza mawasiliano ya Ruge..yetu macho labda ka ameokoka hehehehehe
 
Mtu kuwa corporate anafundishwa ama anajifunza mwenyewe kulingana na mahali alipo kwa wakati husika

Angalia uvaaji na maneno ya majizzo alipokuwa Dj magic na leo Ni sawa?

Anajua yeye sasa Ni CEO anatakiwa kubadilika

Ncha Kali chini ya Joe mwenyewe,Maganga,KP,Gadner na dozen plus hawa think tank wapya kama CZA na Aman Martin ataenda kufanya kazi nzuri
itabidi ajifunze tu mkuu kuishi na watu vzr, pia serikali
 
Tupac Ni moja kati ya viumbe wahuni kuwahi kutokea duniani ila haindoi maana kuwa Ni moja kati ya binadamu wenye IQ kubwa kuwahi kuishi chini ya jua

Ncha Kali ana usela gani? Meanwhile bado kijana ulitaka aongee kama Kabudi?
Nina uwezo wa kumjuji mtu hata kwa ongea yake,nishawahi kumwona akihojiwa bado usela anao,CMG ni taasisi kubwa sio taasisi ya majaribio.
 
Nimepatwa na furaha sana baada ya kuona taarifa kwenye ukurasa wako wa mtandao wa Instagram ukiufahamisha umma/mashabiki kuwa kwa sasa umerejea CMG, Clouds Media Group, imekuwa furaha kwa wengi ila hofu kwa wengi pia.

Reuben Ndege almaarufu Nchakali, ulipikwa Clouds na jasiri marehemu Ruge ukawa zao bora na hatimae SCANAD wakaona hapana wakakukaribisha na kukupa nafasi uuoneshe uuma upande wako wa creativity uko vipi.

Ukiwa SCANAD ulipaza sauti na wachache hawakuelewa ila walioko kwenye tasnia ya Advertisement waliumia kichwa na kuwaza haya madini huyu mtu anayatoa wapi, Kampuni kubwa umeshiriki kuandaa kampeni za bidhaa kwa njia ya matangazo, Coca Cola, Vodacom, Tigo, Kvant, Chai Bora, etc.

Naweza sema uzalendo na Upendo ulionao Clouds ndio umekurejesha na ni heshima kwa Ruge huko aliko anatabasamu nakuona viatu vyake mvaaji amepatikana,sidhani kama umeangalia sana maslahi, kama ni maslah SCANAD naamin walikuwa na uwezo wa kukuretain kwa nafasi uliokuwa nayo na ungebaki ila la hasha.

Wengi walijiuliza viatu vya jasiri angevaa nani, na jina lako lilikuwa midomoni mwa kila mtu naona ule msemo wa Sauti ya watu ni sauti ya Mungu umejidhihirisha, kapambane na tukutakie kila kheri wale waliohisi Mawingu imefika Mwisho nadhani wameanza kuona ndio kwanza Imezaliwa upya.

Kila la heri Reuben Ndege (Nchakali).
Ko umekosa hata ka picha ya 'ndege' kusindikizia uzi wako!!!?
 
Tupac Ni moja kati ya viumbe wahuni kuwahi kutokea duniani ila haindoi maana kuwa Ni moja kati ya binadamu wenye IQ kubwa kuwahi kuishi chini ya jua

Ncha Kali ana usela gani? Meanwhile bado kijana ulitaka aongee kama Kabudi?
IQ inatofautiana kila nyanja,kuna watu wana IQ kwenye mziki,wapo wenye IQ kubwa kwenye mpira akina Messi,wapo wenye IQ kubwa Darasani.So sio kwa sababu una IQ kwenye mziki basi,ukazani hata ukipewa kampuni utaweza kuiongoza.

Acha masihala usifananishe IQ ya kwenye mziki na kampuni vitu viwili tofauti,yaani na usela wako upewe kampuni kubwa kama CMG,we unazani CMG wajinga?

Pac na bange zake umpe kampuni aiongoze,hebu kuwa serious.
 
shangazo
 
Reuben ndo umeamua kuja kujisifia hukuuu. Huko scanad si ukafanya mpaka Kampuni ikataka kupelekwa mahakamani kisa madeni ulivokuwa country manager kwa masaa hadi ukarudishwa cheo chako cha kutengeneza matangazo tu. Hebu wacha sifa zisizo na tija viatu vya Ruge utaweza wewe ndugu yangu????? Mwenzako alikuwa anaongea na kila mtu na anamskiliza kila mtu wewe kacheo tu ulichopewa scanad unawazungushia kiti watu hadi mkapoteza biashara yote kwa kampuni zingine... ukweli ni mwenye uwezo anaonekana ila sio wewe ndugu yangu. endelea kujisifia na wewe ukipewa kiti clouds mwaka tu nakuhakikishia wataondoka wote mmoja mmoja wateja hadi wafanyakazi kama walivooondoka scanad, labda kama umebadilika. Anyway hongera kwa kujisifu mkuuu sio kwamba nakusema ah ah..ila badilika ndugu yana ubrazameen mwingi sanaa huyu jamaa ndo ataiuaaa kabisa clouds, ila ndio vizuri maana anahitajika mtu mwingine tasnia ya redio atawale... natumai EFM na Times wanacheka huko waliko, huuu ndio muda wao eh bwana ehhh kweli Clouds maji ya shingo hadi huyu jamaa bogus bogus kapewa nafasi nyeti ka hiyo...tutaona kama utaweza kuendeleza mawasiliano ya Ruge..yetu macho labda ka ameokoka hehehehehe
Huu ndo uchawi sasa
 
Kiwango cha PHD cha roho mbaya aisee

Ungeweka wazi alikosea wapi huko SCANAD ungetisha sana

Matangazo yote ya biashara kwa miaka 7 bado unasema aliishusha?
Tigo,Vodacom,cocacola,pespi,DSTV na mengine mengi bado unasema nini ?
Kiwango cha PHD cha roho mbaya aisee

Ungeweka wazi alikosea wapi huko SCANAD ungetisha sana

Matangazo yote ya biashara kwa miaka 7 bado unasema aliishusha?
Tigo,Vodacom,cocacola,pespi,DSTV na mengine mengi bado unasema nini ?
Wako wapi leo hii hahahah
 
IQ inatofautiana kila nyanja,kuna watu wana IQ kwenye mziki,wapo wenye IQ kubwa kwenye mpira akina Messi,wapo wenye IQ kubwa Darasani.So sio kwa sababu una IQ kwenye mziki basi,ukazani hata ukipewa kampuni utaweza kuiongoza.

Acha masihala usifananishe IQ ya kwenye mziki na kampuni vitu viwili tofauti,yaani na usela wako upewe kampuni kubwa kama CMG,we unazani CMG wajinga?

Pac na bange zake umpe kampuni aiongoze,hebu kuwa serious.
Pac ametokea wapi tena
 
Back
Top Bottom