Wakuu wa JF,
Tafadhalini naomba nijulishwe upi ni utaratibu wa kupata driving license for a returning resident.
Je kuna haja ya kwenda driving school?
Ninayo driving license ya huko majuu
Wakuu wa JF,
Tafadhalini naomba nijulishwe upi ni utaratibu wa kupata driving license for a returning resident.
Je kuna haja ya kwenda driving school?
Ninayo driving license ya huko majuu
Umesema leseni yako ya nje haitambuliki, unatakiwa kuomba upya kama Mtanzania asiye na leseni, na utapewa "leaner permit." Halafu unasema hautafanya test kwa sababu tayari ni dereva na una leseni.Nina driver licence ya CA (USA) .... nikajaza form ya kuomba leseni upya kabisa kama mtanzania asiye na leseni sababu hawaitambui leseni yako ya nje. Unajaza form unalipia leaner permit kutokana na leseni daraja gani unataka, baada ya hapo next day unaenda pale police osterbay kwa matrafic watakuandikia gr form bila kufanya test sbb tayari ni dereva na una leseni. Baada ya hapo unarudisha form pale mayfair unalipia na kusubiri siku ya kuchukua leseni yako. Hizo njia za mkato sio nzuri in a long run.
nitumie namba yako ya simu tuongee kinagaubaga.
Polisi wakitaka kudaka wapiga deal humu JF watawadaka kama kuku.
nitumie namba yako ya simu tuongee kinagaubaga.
acha utapeli wee wa njano na kijaniNi PM tufanye mambo ,nakuhakikishia kupata ndani ya masaa 24
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Karibu sana Kaka/Dada Futota
Bongo utaiweza kweli kama hapo kwenye Leseni tu kizunguzungu, maana naona bado issue za mashamba na viwanja, lazima upigwe
back to topic
Hakuna haja ya kwenda driving school, inachotakiwa kufanya ni wewe kwenda TRA wanapotolea Driving licence unachukua form, unajaza na pia unaweka daraja la leseni equivalent na la Tanzania,
kuna Trafic wa kuhakiki pale hivyo kwenye kile kitabiu chao hawataandika certificate number wala hawatahitaji "certificate of competence", watajaza 'Foreign" kisha utaenda kulipia na kufanya vipimo vya biometric, after 3 to 4 days unachukua leseni yako, haina haja ya dalali wala nini ni vitu rahisi na mwenyewe unaweza kufifanya
Nakueleza kutokana na ilivyokuwa kwangu. Nina driver licence ya CA (USA) nilienda Pale Mayfair nikaomba maelezo, kilichofuata nikajaza form ya kuomba leseni upya kabisa kama mtanzania asiye na leseni sababu hawaitambui leseni yako ya nje. Unajaza form unalipia leaner permit kutokana na leseni daraja gani unataka, baada ya hapo next day unaenda pale police osterbay kwa matrafic watakuandikia gr form bila kufanya test sbb tayari ni dereva na una leseni. Baada ya hapo unarudisha form pale mayfair unalipia na kusubiri siku ya kuchukua leseni yako. Hizo njia za mkato sio nzuri in a long run. Sababu kuna mpango utafuata wa kuhakiki hizi leseni itakujq kukusumbuwa.