Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Retired chief of the general staff, general Karangi ambaye ndiye alikuwa mkubwa wa majeshi 2012 wakati KDF iliitimua Al Shabab kutoka Kismayu aelezea planning iliyofanyika ili kuiwezesha Kenya kuchukua city hii kutoka kwa Al Shabab. City hii ya Kismayu ni muhimu maana ndio mji wa pili kwa ukubwa huko Somalia baada ya Mogadishu.