Results processing template (Ms Excel) - Primary schools Tsh 10,000/=

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
277
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
277 250
Walimu wa O-level template yenu ipo pia, bei ni Tsh 30,000/=

 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
277
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
277 250
Mambo yamerahisishwa, huitaji tena kutumia muda mwingi na kuumiza kichwa. Template itakufanyia kazi zote hizo (kuandaa report, kukuwezesha kujua grade&nafasi aliyoshika mwanafunzi kwa kila somo baada tu ya kujaza alama aliyopata, nafasi ya jumla aliyoshika darasa n.k) ndani ya muda mfupi sana
tempe.PNG
 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
277
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
277 250
Wale wa international schools ambao mitaala yenu iko tofauti na mitaala ya hapa Tanzania na mnahitaji template itayoendana na mfumo wenu pia tunaweza tukawasiliana kupitia email /PM.
 

kiwembe 023

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
794
Points
1,000

kiwembe 023

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
794 1,000
Watu wa namna hii wanarudisha sana wenzao nyuma. Lakini huwa naishangaa sana dunia, humlipa kila mtu hapahapa.

Piga kazi Njuka II usikate tamaa, bado umezungukwa na watu wema. Achana na huyo mpuuzi mmoja.
Zimepita siku zaidi ya kumi tangu nilipokutumia template na umekiri kuipokea lakini mpaka leo hujanilipa haki yangu, pm zangu hujibu na emails pia hujibu. Mungu akuzidishie zaidi na zaidi, usiponilipa duniani, nitaikuta akhera. SIWISA
 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
277
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
277 250
Watu wa namna hii wanarudisha sana wenzao nyuma. Lakini huwa naishangaa sana dunia, humlipa kila mtu hapahapa.

Piga kazi Njuka II usikate tamaa, bado umezungukwa na watu wema. Achana na huyo mpuuzi mmoja.
Nashukuru sana Mkuu, nina imani Mungu atanipatia haki yangu kwa njia mbadala. Jasho la mtu halipoteagi bure bure
 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
277
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
277 250
 

Forum statistics

Threads 1,364,414
Members 520,731
Posts 33,315,497
Top