Results processing template (Ms Excel) - Primary schools Tsh 10,000/=

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Mkuu masomo kwa sasa yamebadilika sasa wanamasomo sita kwa darasa la kwanza hadi la nne na masomo saba kwa darasa la tano hadi la saba....kwenye sheet hii nilioiquote naona inamasomo matano tu...kama unaweza fanya maboresho hayo...mimi ngaihitaji punde tu itakapokuwa tayari!
Hii template niliitengeneza kwa kurefer timetable ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2019, nilikuta masomo matano tu ambapo nadhani itawafaa wanafunzi wa darasa la saba. Kama hali ndio hii, itabidi kuwe na template mbili tofauti. Yote kwa yote, nashukuru kwa muda wako na ushauri pia
 

Forum statistics

Threads 1,343,413
Members 515,033
Posts 32,783,872
Top